othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,714
- 12,239
Yule mlevi wa gongo akilewa Tilalilah na mwenzake mshamba hawajabubujikwa na machozi ya huzuni?
Mimi naishi Kadiri Mungu alivyopanga, hayo mengine ni majaliwa... ila kafaidi though shortly! Vipi; ungependa uishi miaka 100 kama kapuku au 40 kama tycoon? Teh!
Enendeni mkaitawale nchi na kuitiisha. Hayo ndio maelekezo yake kazi kwetu.Mimi naishi Kadiri Mungu alivyopanga, hayo mengine ni majaliwa