johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Najadili ukuu wa CCM bwashee Daudi!cha ajabu wewe ni MwanaCCM na hapa umefungua thread kuwajadili Chadema.
Imetikisa wapi?!Ningeshangaa vikao vya Upinzani kufunika vya CCM, ila nachofurahi ni kwamba Pamoja na kwamba CDM haijafunika, ila imetikisa
Mvuto ndio nini bwashee?!hakuna ugonjwa mbaya duniani kama kukosa akili!, sijui umeandika hii ili iweje ! Kuonyesha CDM hakuna mvuto au? kaulize huko mwanza namna ambavyo CDM inawaumiza vichwa watawala.
Wewe ndio wa ajabu mashindano kwani CCM wanachagua mwenyekiti?!!Du kweli Lumumba kuna watu wa ajabu kabisa kwani kulikuwa na Mashindano?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vitu vingine mnaandikaga mkiwa mmekalia vitu vyrnye ncha butu, vyama Vingi vimekuja 1992, kabla kila MTU alilazimishwa kuwa ccm si kwa kupenda.Kweli kabisa bwashee.......vyama vya upinzani vilianzishwa na makada wa CCM!
Mkuu wao hawana mpango na tume huru ya uchaguzi maadamu wanalipwa ruzuku yatosha!Usanii mtupu na viongozi wa vyama vya upinzani wanajua fika hawawezi kukamata dola:- (Tume ya Uchaguzi kuendelea kuwa chini ya Rais na kutokuwepo sheria ya kupinga matokeo ya urais mahakamani).
Kwa kufahamu huko bado wanahimiza wafuasi wao washiriki kwenye uchaguzi mkuu. Ili hali kamwe tume ya uchaguzi haiwezi kumtangaza mpinzani Mshindi.
Nilikuwa nategemea tangu mfumo wa vyama vingi kuingia kuanzia mwanzo wangekuwa wanagomea kushiriki uchaguzi wa urais mpaka pale TUME YA UCHAGUZI ITAKAPOKUWA HURU.
Huku ni kupotezeana muda tuu vyama vya upinzani ni mawakala wa CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbwiga kila mtu alilazimishwa na nani?!Vitu vingine mnaandikaga mkiwa mmekalia vitu vyrnye ncha butu, vyama Vingi vimekuja 1992, kabla kila MTU alilazimishwa kuwa ccm si kwa kupenda.
Siyo ajabu wapenda mageuzi kutoka ccm kwenda opposition