Vikao vya CCM vimeufunika uchaguzi mkuu wa Chadema, Mbowe na Mwambe wasahaulika katika mijadala

Hivi mwenyekiti anachaguliwa na nani zaidi ya wajumbe wa mkutanao mkuu?
 
Kwani nyie nungayaembe ndio mnamiliki Chadema?!
akili zako zimekaa kimipashomipasho tu . unawaza kunengua kama hadija kopa akiwa chimwaga. huna lolote huwezi jibu hoja kwa hoja . upo kama mwenekiti wa SADC anataka wote tuamini anayoyaamini kwenda mbele kwa wapuuzi wenzio lumumba
 
Tupo hapa na Mbowe tunasubiria ndege yetu utatuona mubashara TBC bwashee!
 
ingawaje siyo kweli ila CCM wanatisha kama Kinana na Makamba wanaitwa kirahisi kuhojiwa je wale jamaa wa buku saba nini kinaweza kuwakuta siku shilingi ikigeuka
 
Back
Top Bottom