Vikao vya madiwani kuhusu uhamasishaji mkataba wa bandari

naliwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
410
Reaction score
987
Hivi hii nchi wapi inaelekea kwa sasa, serikali itwambie hii bajeti ya vikao vya madiwani nchi nzima ya kuwawezesha na kuwaelimisha ili waende kwa wananchi kuwaeleza na kuwashawishi kuhusu mkataba wa bandari wanaitoa wapi?

Hata ivyo mimi naliwe najiuliza kunani kwenye mkataba huu hadi kufikia hatua hii ya kutawanya kodi zetu kiasi hiki?

Msaada tafadhali.
 
Binafsi namuonea huruma Sana MAKAME MBARAWA

mwenzie anakinga ila yeye ....
 
Hivi hii nchi wapi inaelekea kwa sasa, serikali itwambie hii bajeti ya vikao vya madiwani nchi nzima ya kuwawezesha na kuwaelimisha ili waende kwa wananchi kuwaeleza na kuwashawishi kuhusu mkataba wa bandari wanaitoa wapi?

Hata ivyo mimi naliwe najiuliza kunani kwenye mkataba huu hadi kufikia hatua hii ya kutawanya kodi zetu kiasi hiki?

Msaada tafadhali.
Feza za 'dipii wedi' mkuu hizi.
Viongozi wa CCM wanafanya kazi kwa niaba ya DPW
Viongozi wa CDM wanafanya ukombozi kulinda mali na rasilimali za Wananchi kwa niaba ya Wananchi.
 
Back
Top Bottom