Vikao vya ukoo sio kabisa ukiwa huna pesa

Wakerewe, wajaluo na wagita wanaamini Sana hivi vikao.
Sasa ukute mjaluo ameibia serikali halafu kwenye kikao ndio aliyenunua nyama choma na beer. Aisee Kama hela yako Ni ya halali, kaa kimya na jitahidi usinywe pombe zake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo hata ukitoa wazo linapewa uzito mdogo, ni
Wako sahihi Mfano wachaga huanini kuwa akili ni kitu kinachoonekana lazima uonyeshe kama akili unazo zinezalisha kipi jkinachoonekana mojawapo cha kwanza pesa. Sasa kama huna pesa huna akili wewe Tafuta pesa ndipo ujoo 8tajua kuwa una akili.Huna pesa wanakuona mjinga tu.Sasa kwenye kikao utaongea nini kama sio 8jinga wako tu.Ndio maana wanakuzima kwa kutokupa nafasi ya kuongea kabisa au kutokukusikiliza na kuyapa uzito mfogo mno mmo maneno yako.Kikao cha ukoo kama huna hela kaakimya waache wenye akili zao wenye pesa waongee
.
Pili mfano uko kikao cha msiba cha wachaga ukanyoosha mkono ukasema mkono mzee wa kikao akakuonyesha kidole kuwa karibu tubakusikiliza ukasema mimi nina wazo anakufokea anakuambia kaa chini na kusema hapa hatuhihitaji mawazo maoti hawezi zikwa au kusafirishwa na mawazo zinatakiwa pesa hapa au useme utachangia nini jeneza,gari la kusafirisha nk hatutaki mawazo hapa tunataka michango

Ukisimama unasema mimi nitatoa hiki usipotezee muda watu wana biashara zao na shughuli.zao za kuingiza pesa zinawasubiiri.Kikao.kinatak8wa kuwa kifupi pesa ipatikane chapchap sio watu wanashinda tu kuongelea mawazo hapo.Hicho kikao cha wenye akili wenye nazo sio kikao cha wajinga wajinga wasio na akili
 
hhhhhhhhhh kama uchagani ukiwa huna hela hata kwenye shughuli wanakupa kitengo cha ajabu sana mara kukata ndizi, mara kusafisha eneo ,.....Tutafute pesa😋
 
Muda wote unaonekana unaleta fujo,hasa unapomkosoa mwenye hela anayeongea pointless
Biblia iko wazi

Mhubiri 9:16. “Ndipo niliposema, Bora hekima kuliko nguvu; walakini hekima ya maskini hudharauliwa, wala maneno yake hayasikilizwi.

Mtu akiwa maskininhata awe na hekima vipi hasikilizwi.Mtu.maskimi hela hana anakosoaje mwenye hela kwa mfano

Ndio maana maskini wengi huona kuwa matajiri wanajidai na wana nyodo.Sio sailing yao .Aliyekuzidi kakuzidi huwezi kujitia una hekima kuliko aliyekuzidi wakati wewe lofa
 
Hapa nazungumzia yale makabila ambayo undugu una uzito mkuwa, kuna wale ambao mambo ya undugu hayanaga uzito wala sio shida.

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo ukinyoosha mkono utaambiwa subiri kwanza wenzako (wenye mawe) wachangie

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo ukiongea utaambiwa unakatisha maongezi usubiri upewe ruhusa, muda huo wenye nazo wanaongea kwa uhuru

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo, kikao kinaweza kuendelea bila uwepo wako na ukachukuliwa una kiburi warakusema "huyo mwacheni dawa yake inachemka, ukiwa na pesa kikao kinakusubiri na ukichelewa utadhaniwa kuna dharura muhimu imekupata na bado utapewa updates.

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo hata ukitoa wazo linapewa uzito mdogo, ni kama vile basi tu wamekuruhusu kuongea kwa kukuona unaweza kuanza kulalamika hupewi nafasi, ukimaliza kutoa point utaambiwa "haya asante anaefuata", ila wazo hilo hilo likitolewa na mwenye pesa linaanza kupewa uzito

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo utapewa soda pendwa Mirinda, Na hio Mirinda mtoto wa mwenye pesa akililia atakupokonya na huruhusiwi kumzuia, Muda huo wale wenye mizigo wameandaliwa juice natural za matunda, grand malt, n.k.

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo inabidi uchague sehemu ya kukaa kwa hesabu kali sana, huwa kkuna kawaida ya michango kuchangishwa, ukikaa huko mbele ama karibu na wenye mizigo wao wakianza kuchanga milioni mbili mbili, moja, laki 8, unaefuata utakuwa wewe mwenye uwezo wa elf 50 utaishia kuaibika kwa kusema ukweli ama kugharamika kwa kuchangia kuzidi uwezo wako pengine hata kukopa,

usipokuwa na pesa kwenye kikao unaweza kupewa ulanzi wenzako wakapewa soda
 
Kiti ulichokalia kama huna hela unaambiwa inuka tunataka kuweka kreti ya soda hapo.Nje ya mada kuna jamaa alienda ukweni Moshi ,halafu choka mbaya wakawa wanamwita uncle komando watoto kwa kubeba mizigo ya wageni.Uzi unachekesha kinyama ule😀😀
 
Hapa nazungumzia yale makabila ambayo undugu una uzito mkuwa, kuna wale ambao mambo ya undugu hayanaga uzito wala sio shida.

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo ukinyoosha mkono utaambiwa subiri kwanza wenzako (wenye mawe) wachangie

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo ukiongea utaambiwa unakatisha maongezi usubiri upewe ruhusa, muda huo wenye nazo wanaongea kwa uhuru

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo, kikao kinaweza kuendelea bila uwepo wako na ukachukuliwa una kiburi warakusema "huyo mwacheni dawa yake inachemka, ukiwa na pesa kikao kinakusubiri na ukichelewa utadhaniwa kuna dharura muhimu imekupata na bado utapewa updates.

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo hata ukitoa wazo linapewa uzito mdogo, ni kama vile basi tu wamekuruhusu kuongea kwa kukuona unaweza kuanza kulalamika hupewi nafasi, ukimaliza kutoa point utaambiwa "haya asante anaefuata", ila wazo hilo hilo likitolewa na mwenye pesa linaanza kupewa uzito

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo utapewa soda pendwa Mirinda, Na hio Mirinda mtoto wa mwenye pesa akililia atakupokonya na huruhusiwi kumzuia, Muda huo wale wenye mizigo wameandaliwa juice natural za matunda, grand malt, n.k.

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo inabidi uchague sehemu ya kukaa kwa hesabu kali sana, huwa kkuna kawaida ya michango kuchangishwa, ukikaa huko mbele ama karibu na wenye mizigo wao wakianza kuchanga milioni mbili mbili, moja, laki 8, unaefuata utakuwa wewe mwenye uwezo wa elf 50 utaishia kuaibika kwa kusema ukweli ama kugharamika kwa kuchangia kuzidi uwezo wako pengine hata kukopa,
Hizo mambo hazipo katika vikao vya ukoo tu bali zipo kila pahali, hata katika nyumba za ibada zipo.

Kuna viti vya VIP platform, VIP A, VIP C, na kuna wakalia benchi wa nyuma nyuma huko.

Hawalingani kimapato na ndio maana wakawekwa katika mafungu.

Nenda hata kwenye usafiri wa nchi kavu baharini na angani utakutana na makundi kama hayo

#mwenye pesa sio mwenzio
 
Bila shaka wewe Ni Mangi Maana asilimia kubwa uliyo sema ndio huko Moshi ndivyo kulivyo ...Tena wakati unachangia watu wanapiga stori za chini chini huyu naye Anasema nn! Alifika Saa ngapi! Sasa Akianza Kuongea tajiri Utaskia Shiiiii nyamazeni jamani, Mushi, kimaro , mboya , Chuwa...majina ya Heshima....ni flan ndio Anaongea nyamazeni, tuwatoe kwenye kikao, na ww usiye nacho watakutoa kwenye kikao fasta kama simu yako' ikatoa mlio, kuzima simu ikatoa mlio...Enyi Wachagga Wachagga yaahi hawa ndugu Zng ndio wayaudi weuzi wa bongo..🙌🙌 😄
 
Wakerewe, wajaluo na wagita wanaamini Sana hivi vikao.
Sasa ukute mjaluo ameibia serikali halafu kwenye kikao ndio aliyenunua nyama choma na beer. Aisee Kama hela yako Ni ya halali, kaa kimya na jitahidi usinywe pombe zake.
Hivi Wajaluo wameanza kurudi huko kwao, navyowajua wakiondoka kijijini hasa wakitoboa mjini kurudi huwa ni kwenye misiba tu, teknolojia nyeusi inaogopesha wengi kurudi hasa ile ya kukonyeza jicho kwenye chakula.
 
Back
Top Bottom