Vikao vya ukoo sio kabisa ukiwa huna pesa

Wakerewe, wajaluo na wagita wanaamini Sana hivi vikao.
Sasa ukute mjaluo ameibia serikali halafu kwenye kikao ndio aliyenunua nyama choma na beer. Aisee Kama hela yako Ni ya halali, kaa kimya na jitahidi usinywe pombe zake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo hata ukitoa wazo linapewa uzito mdogo, ni
Wako sahihi Mfano wachaga huanini kuwa akili ni kitu kinachoonekana lazima uonyeshe kama akili unazo zinezalisha kipi jkinachoonekana mojawapo cha kwanza pesa. Sasa kama huna pesa huna akili wewe Tafuta pesa ndipo ujoo 8tajua kuwa una akili.Huna pesa wanakuona mjinga tu.Sasa kwenye kikao utaongea nini kama sio 8jinga wako tu.Ndio maana wanakuzima kwa kutokupa nafasi ya kuongea kabisa au kutokukusikiliza na kuyapa uzito mfogo mno mmo maneno yako.Kikao cha ukoo kama huna hela kaakimya waache wenye akili zao wenye pesa waongee
.
Pili mfano uko kikao cha msiba cha wachaga ukanyoosha mkono ukasema mkono mzee wa kikao akakuonyesha kidole kuwa karibu tubakusikiliza ukasema mimi nina wazo anakufokea anakuambia kaa chini na kusema hapa hatuhihitaji mawazo maoti hawezi zikwa au kusafirishwa na mawazo zinatakiwa pesa hapa au useme utachangia nini jeneza,gari la kusafirisha nk hatutaki mawazo hapa tunataka michango

Ukisimama unasema mimi nitatoa hiki usipotezee muda watu wana biashara zao na shughuli.zao za kuingiza pesa zinawasubiiri.Kikao.kinatak8wa kuwa kifupi pesa ipatikane chapchap sio watu wanashinda tu kuongelea mawazo hapo.Hicho kikao cha wenye akili wenye nazo sio kikao cha wajinga wajinga wasio na akili
 
hhhhhhhhhh kama uchagani ukiwa huna hela hata kwenye shughuli wanakupa kitengo cha ajabu sana mara kukata ndizi, mara kusafisha eneo ,.....Tutafute pesaπŸ˜‹
 
Muda wote unaonekana unaleta fujo,hasa unapomkosoa mwenye hela anayeongea pointless
Biblia iko wazi

Mhubiri 9:16. β€œNdipo niliposema, Bora hekima kuliko nguvu; walakini hekima ya maskini hudharauliwa, wala maneno yake hayasikilizwi.

Mtu akiwa maskininhata awe na hekima vipi hasikilizwi.Mtu.maskimi hela hana anakosoaje mwenye hela kwa mfano

Ndio maana maskini wengi huona kuwa matajiri wanajidai na wana nyodo.Sio sailing yao .Aliyekuzidi kakuzidi huwezi kujitia una hekima kuliko aliyekuzidi wakati wewe lofa
 

usipokuwa na pesa kwenye kikao unaweza kupewa ulanzi wenzako wakapewa soda
 
Kiti ulichokalia kama huna hela unaambiwa inuka tunataka kuweka kreti ya soda hapo.Nje ya mada kuna jamaa alienda ukweni Moshi ,halafu choka mbaya wakawa wanamwita uncle komando watoto kwa kubeba mizigo ya wageni.Uzi unachekesha kinyama uleπŸ˜€πŸ˜€
 
Hizo mambo hazipo katika vikao vya ukoo tu bali zipo kila pahali, hata katika nyumba za ibada zipo.

Kuna viti vya VIP platform, VIP A, VIP C, na kuna wakalia benchi wa nyuma nyuma huko.

Hawalingani kimapato na ndio maana wakawekwa katika mafungu.

Nenda hata kwenye usafiri wa nchi kavu baharini na angani utakutana na makundi kama hayo

#mwenye pesa sio mwenzio
 
Bila shaka wewe Ni Mangi Maana asilimia kubwa uliyo sema ndio huko Moshi ndivyo kulivyo ...Tena wakati unachangia watu wanapiga stori za chini chini huyu naye Anasema nn! Alifika Saa ngapi! Sasa Akianza Kuongea tajiri Utaskia Shiiiii nyamazeni jamani, Mushi, kimaro , mboya , Chuwa...majina ya Heshima....ni flan ndio Anaongea nyamazeni, tuwatoe kwenye kikao, na ww usiye nacho watakutoa kwenye kikao fasta kama simu yako' ikatoa mlio, kuzima simu ikatoa mlio...Enyi Wachagga Wachagga yaahi hawa ndugu Zng ndio wayaudi weuzi wa bongo..πŸ™ŒπŸ™Œ πŸ˜„
 
Wakerewe, wajaluo na wagita wanaamini Sana hivi vikao.
Sasa ukute mjaluo ameibia serikali halafu kwenye kikao ndio aliyenunua nyama choma na beer. Aisee Kama hela yako Ni ya halali, kaa kimya na jitahidi usinywe pombe zake.
Hivi Wajaluo wameanza kurudi huko kwao, navyowajua wakiondoka kijijini hasa wakitoboa mjini kurudi huwa ni kwenye misiba tu, teknolojia nyeusi inaogopesha wengi kurudi hasa ile ya kukonyeza jicho kwenye chakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…