Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ndio zaoKuna dem mmoja alikua anacheza kikoba ilikua ikifika ijunaa kama hajapata hela atakusumbua hatari mara atume picha analichezea pochi manyoya yaaan akutie ngenye tu ukapige mambo umpoze[emoji1787][emoji1787]
Mkwepe tena ikimbie zinaaMimi ndio nafany kazi ya kuwakwepa tu
Vya bure vina madhara🤭Kuna ka elfu 60 hapa hakana kaz kwa mdada anaecheza vikoba aje pm tuyajenge natoa bure kwa mdada na mmama yoyote vigezo na mashart kuzingatiwa
Na Ngosha unaenda kulifata pochi manyoya kwa raha zako na pesa za kicoba 😂😂😂Kuna dem mmoja alikua anacheza kikoba ilikua ikifika ijunaa kama hajapata hela atakusumbua hatari mara atume picha analichezea pochi manyoya yaaan akutie ngenye tu ukapige mambo umpoze[emoji1787][emoji1787]
Mhmm!! Maandishi yako mbona yanapingana na unachomaanisha mkuu 😂😂😂Mimi ndio nafany kazi ya kuwakwepa tu
Vya bure vina madhara
Tayari😂
Tukutane Rombo View pale ili tuangalie namna ya kufanya mrembohapa nina mawazo hela ya kikoba kesho sina 😂
hehehehe hadi wewe unataka mpaka tukutane rombo aaahTukutane Rombo View pale ili tuangalie namna ya kufanya mrembo
huku kwetu kuna mafurikoSasa na hii mvua ya leo unategemea nifanyeje mrembo? Au hutaki kulipa vicoba hivyo haraka?
Ila sindio mwavifurahia zaidi, sogeeni karibu tu.Vya bure vina madhara🤭
Chukua Bolt😂huku kwetu kuna mafuriko
🤭🤭😂😂Ila sindio mwavifurahia zaidi, sogeeni karibu tu.
Si Umesema unatoa bure,sasa hivyo vigezo na masharti vinatokea wapi?Kuna ka elfu 60 hapa hakana kaz kwa mdada anaecheza vikoba aje pm tuyajenge natoa bure kwa mdada na mmama yoyote vigezo na mashart kuzingatiwa
hazifikiChukua Bolt😂
nimewaiga vodacom vigezo vyenyewe ni kuja dm kunipa namba nikutumie, kigezo cha mwisho wasininyime nikiombaaa siku zingineSi Umesema unatoa bure,sasa hivyo vigezo na masharti vinatokea wapi?
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Nipe namba yake nikusaidieKuna dem mmoja alikua anacheza kikoba ilikua ikifika ijunaa kama hajapata hela atakusumbua hatari mara atume picha analichezea pochi manyoya yaaan akutie ngenye tu ukapige mambo umpoze[emoji1787][emoji1787]