Vikoba imekua sababu kubwa iliyowaingiza akina dada kwenye biashara ya kuuza mwili

Vikoba imekua sababu kubwa iliyowaingiza akina dada kwenye biashara ya kuuza mwili

Hi guys…

VIKOBA NI NINI? ni mfumo wa kuweka na kukopa kwa wanachama waliojiunga kwa pamoja na kuunda kikundi kwa malengo ya kujikwamua kiuchumi.
Ni na ni sahihi ya kua vikundi hivi vimekua na matokeo chanya kijamii, na familia kiujumla
Ila kwa bahati mbaya kwa mkosaji wa kipato kwa muhusika imewapelekea akina dada wengi kujiingiza kwenye biashara ya kuuza mwili bila wao kupenda
Mtu anajiingiza huko ,unakuta anatumia hata majina matatu mpaka ma nne… ikiwa kipato chako sio rafiki unategemea nini?
sio mala moja kupokea ujumbe mfupi kwenye simu yangu “nahman nnaomba elfu kumi sina hela ya mchezo”
Unajiuliza kwanini unaingia kwenye mchezo wakati hauna namna thabiti ya kupata hela?
Mbaya zaidi wakiwa kwenye wakati hu mgumu hua wako radhi kufanya chochoe apate hiyo hela

Ikumbukwe ya kua fedha ya mwanaume haitumiki bule bila ya kua na manufaa kwa mtoaji kwa namna yoyote ile!
Nikupe elfu kumi ikiwa sipati chochote kutoka kwako ni sawa? Hapana
Ni lazima ntataka kitu toka kwako

Ukiona manzi yako inachezamchezo na haina kipato cha kueleweka
Fuatilia..

All the best mnyama(kwa heshima ya taifa)
Kweli kabisa, wengine wanapoteza mpaka marinda apate pesa ya rejesho.
 
Kausha dam sasaaaaa dah dada na mama zetu hadi hurumaaa
Yan ndoa zmevunjika nying na zinaendelea kuvunjika
 
Hata siku haijaisha yaani😂😂😃😃
 

Attachments

  • IMG_1063.jpeg
    IMG_1063.jpeg
    450.3 KB · Views: 3
Yote kwa yote ni tamaa zinawaongoza kwani huwezi jiunga na kitu ambacho hujui mwisho wake. Wengi wamejiunga kwenye hivi VICOBA ilhali ni tegemezi kwa waume zao na hawana kipato cha kuingiza kitakachowafanya wamudu pesa za hivyo vikundi.
 
Back
Top Bottom