Vikoba imekua sababu kubwa iliyowaingiza akina dada kwenye biashara ya kuuza mwili

Kweli kabisa, wengine wanapoteza mpaka marinda apate pesa ya rejesho.
 
Kausha dam sasaaaaa dah dada na mama zetu hadi hurumaaa
Yan ndoa zmevunjika nying na zinaendelea kuvunjika
 
Hata siku haijaisha yaani😂😂😃😃
 

Attachments

  • IMG_1063.jpeg
    450.3 KB · Views: 3
Yote kwa yote ni tamaa zinawaongoza kwani huwezi jiunga na kitu ambacho hujui mwisho wake. Wengi wamejiunga kwenye hivi VICOBA ilhali ni tegemezi kwa waume zao na hawana kipato cha kuingiza kitakachowafanya wamudu pesa za hivyo vikundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…