Vikoba, upatu, vyanzo vya wake za watu wengi kuchepuka

Vikoba, upatu, vyanzo vya wake za watu wengi kuchepuka

Kuna demu ni mzuri hataree mtaani hapa nilichoka nikiposikia boda wanajisevia kwa buku mbili tuu, akipata wa maana ni efu 15 😳. dada rangi ya mtume tako kama lote nashindwa kuelewa inakuwaje jamani anakuwa cheap kiasi hicho kisa michezo na marejesho.
Niunganishe
 
Kuna mmoja kila siku ananikera akiwa period ananiambia nimtaftie dawa ya kukara damu ana danga ili apate marejesho hayo ndo mambo ya pippin kamara
Naona hizo dawa zinatumiwa sana na barmaids ila hawajui madhara yake
 
Wakuu, kama kama mkeo anacheza upatu, vikoba etc. Ana you asilimia kubwa sana za kuchepuka.

Kibaya zaidi hawa wake zetu wanacheza hii michezo kwa siri.

Unakuta mkeo ana mchezo wa buku kwa siku, elfu kumi kila ijumaa, ana mchezo wa elfu 10 kwa mwezi wapo 50, laki mbili kwa mwezi wapo kumi.

Ana kikoba kila week anapeleka elfu 30, mwisho wa mwezi anapeleka elfu 50, kiingilio cha kikoba 200,000, broo utagongewa tu, kibaya zaidi wanacheza kwa siri.

Hata pale anapokwama anaona nongwa kukueleza, anajikuta anashawishika huko nje. Haoni shida kuutoa mwili wake atatue shida zake (asiaibike)

Vikoba vinawapeleka puta wanawake wanahaha kutafuta pesa za marejesho, siyo waajiriwa, wafanya biashara, mama wa nyumbani.
Na mrejesho pia.
 
Sasa wewe umeanja kunifahamu vizuri 😜😅
Si unajua lazma umjue wa karibu yako before attaaack 😂😂
Kwa hiyo wewe team mafupa laini yale lazma liwe la mwisho ugombane nalo vizuri 😂
 
Si unajua lazma umjue wa karibu yako before attaaack 😂😂
Kwa hiyo wewe team mafupa laini yale lazma liwe la mwisho ugombane nalo vizuri 😂
Huyu ndo mimi na wameishanijua kabisa 😅
 
Back
Top Bottom