Vikoba, upatu, vyanzo vya wake za watu wengi kuchepuka

Michezo na marejesho ni Janga kuu kwa wanawake wa sasa.
afu hamna cha maana wanafanya, mfano mie naweza jitoa akili nidange ndani ya mwaka mzima nitafute dola laki moja ya kununua bond BOT nianze kujilipa mshahara na hayo ni malengo SMART maana yake ni kwamba yanawezekana 😅
 
Kuna demu ni mzuri hataree mtaani hapa nilichoka nikiposikia boda wanajisevia kwa buku mbili tuu, akipata wa maana ni efu 15 😳. dada rangi ya mtume tako kama lote nashindwa kuelewa inakuwaje jamani anakuwa cheap kiasi hicho kisa michezo na marejesho.
Em nielekeze mkuu, huyo mbona kama dem wangu
 
Wakuu, kama kama mkeo anacheza upatu, vikoba etc. Ana you asilimia kubwa sana za kuchepuka.

Kibaya zaidi hawa wake zetu wanacheza hii michezo kwa siri.

Unakuta mkeo ana mchezo wa buku kwa siku, elfu kumi kila ijumaa, ana mchezo wa elfu 10 kwa mwezi wapo 50, laki mbili kwa mwezi wapo kumi.

Ana kikoba kila week anapeleka elfu 30, mwisho wa mwezi anapeleka elfu 50, kiingilio cha kikoba 200,000, broo utagongewa tu, kibaya zaidi wanacheza kwa siri.

Hata pale anapokwama anaona nongwa kukueleza, anajikuta anashawishika huko nje. Haoni shida kuutoa mwili wake atatue shida zake (asiaibike)

Vikoba vinawapeleka puta wanawake wanahaha kutafuta pesa za marejesho, siyo waajiriwa, wafanya biashara, mama wa nyumbani.
Ni kweli
 
Ndio chibuko la kila independent woman
 
afu hamna cha maana wanafanya, mfano mie naweza jitoa akili nidange ndani ya mwaka mzima nitafute dola laki moja ya kununua bond BOT nianze kujilipa mshahara na hayo ni malengo SMART maana yake ni kwamba yanawezekana 😅
Million 200 mbususu itapasuka.
 
Na usipokua na vikoba/michezo unaonekana huna future 😅 ila sio siri hivyo vitu vinawadhalilisha sana wanawake kuna best angu nafanya nae kazi kapanga binti tu kachukua mkopo 1.8m ASA anarejesha 53000/= kila wiki kwa miezi 10 uliza alichofanyia kaenda kulipa kodi kanunua sofa za kdsasa na kabati /Show case marejesho yanamfedhehesha hamna mfano kuomba omba hapo bado mchezo! Ukiuliza haya yote kisa nini ooh namimi nisibaki nyuma nikaonekana sina maendeleo
 
Duh kwann uige vitu una uwezo navyo sasa huyo atashindwa kujiuza.
 
Wakuu, kama kama mkeo anacheza upatu, vikoba etc. Ana you asilimia kubwa sana za kuchepuka.

Kibaya zaidi hawa wake zetu wanacheza hii michezo kwa siri.

Unakuta mkeo ana mchezo wa buku kwa siku, elfu kumi kila ijumaa, ana mchezo wa elfu 10 kwa mwezi wapo 50, laki mbili kwa mwezi wapo kumi.

Ana kikoba kila week anapeleka elfu 30, mwisho wa mwezi anapeleka elfu 50, kiingilio cha kikoba 200,000, broo utagongewa tu, kibaya zaidi wanacheza kwa siri.

Hata pale anapokwama anaona nongwa kukueleza, anajikuta anashawishika huko nje. Haoni shida kuutoa mwili wake atatue shida zake (asiaibike)

Vikoba vinawapeleka puta wanawake wanahaha kutafuta pesa za marejesho, siyo waajiriwa, wafanya biashara, mama wa nyumbani.

Hawezi kuwa na vicoba vyote hivyi kama unamtunza vizuri na kumpatia pesa za kukidhi maitaji yake!
 
Kuna mmoja huyo alikopa ASA marejesho yakawa 54k kila Jumanne,anakwambia alitembeza papa lake mpaka likawa linawaka moto,hana kazi wala biashara, akasema hatarudia tena maana kama k yake ingekuwa kifututio angekuwa hana tena.
 
Duh iligongwa haswa mpaka anakiri.
 
Back
Top Bottom