Vikoba, upatu, vyanzo vya wake za watu wengi kuchepuka

Anataka bado kuhudumiwa na wewe huku akibadilisha ladha
Hapo ndo hawezi piga ndege wawili kwa jiwe Moja, vigezo na mashart kuzingatiwa, no job, no vikoba, no business, no marafiki, hiyo unaitwa Stay home.
 
Duh! Wee kiboko. Ila ahikilia hapo hapo
 
Kwenye comment yako ulionesha 20K ni ndogo kulala na mwanume. Ndio maana nikakuuliza hvyo.
Pengine una kiwango chako.
Umeninukuu vibaya Tena sana akili yako umeipeleka mbali kana kwamba nahitaji zaid ya 20 Ili kulala na mtu 🙄🙄 hellow sio Kila mtu Yuko unavotafakari na ubongo wako au kuona mtu ame comment sehem bas ndo ukavusha na akili yako kwamba hebu acha kuchukulia Kila mwanamke kwenye negative way mnawakosea watu Kwa fikra zenu potofu

Nawadharau mwanamke anayelala na mwanaume sababu ya 20 wakat mtu akipika uji siku tatu anazaid ya iyo elf 20 Sasa wewe akili yako ukaipelekaa mbal so sorry kipenz

Haya

Haya sorry sana mwanamke.
Pengine comment yako nilielewa vibaya, ila akili yangu haikufikiria mbali, nilikuuliza tuu swali.

Mfano hapo kwenye paragraph ya mwisho umesema , unamdharau mwanamke anaelala na mwanaume sababu ya elf 20.

Bado unatengeneza maswali,

Je mwanmke aenalala na mwanaume sababu ya milioni 1,
Huyu humdharau?
 
Ni kwamba wanatofautiana dau.
 
Umeninukuu vibaya Tena sana akili yako umeipeleka mbali kana kwamba nahitaji zaid ya 20 Ili kulala na mtu 🙄🙄 hellow sio Kila mtu Yuko unavotafakari na ubongo wako au kuona mtu ame comment sehem bas ndo ukavusha na akili yako kwamba hebu acha kuchukulia Kila mwanamke kwenye negative way mnawakosea watu Kwa fikra zenu potofu

Nawadharau mwanamke anayelala na mwanaume sababu ya 20 wakat mtu akipika uji siku tatu anazaid ya iyo elf 20 Sasa wewe akili yako ukaipelekaa mbal so sorry kipenz
Jf bwana eti 20k sio hela kubwaya kutoa uchi....naona sasa people wana hukulia poa hela in a country where majority live under a dollar a day
 
Je wanaopewa laki 5 na trip za dubai kama misa? Hao huwadharau?? Tusidanganyane mkuu kila mwanamke ana pricetag ndo mana unashupalia huwez kwa elf 20 akati umeulizwa ingekua 100k je? Hapo huo uji atatembeza siku ngap na vicoba wamemkalia kooni rejesho? Kwa mbaali labda mwanamke anaeweza kusema hana price ni yule kaolewa bikra kwa kujitunza na kukwepa vishawishi basi! But na yeye kuna wakali hajakutana nao tu.
 
Kama ni mtafutaji sio hela yakumfanya mwanamke kujiuza hao wanaomba omba ni kwamba wanapenda vya Bure mie nasema 20k sio hela kwangu sababu najua kuzichanga
 
Yani Solomoni unalitendea hali jina lako vilivyoo 😂😂😂 na unawakandaa mzee bwana mtumishii
umejuaje mkuu?
na niliitwa mtumishi kweli😅😅😅😅
marejesho qummernyoko
Screenshot_20250203-133741.jpg
 
Je wanaopewa laki 5 na trip za dubai kama misa? Hao huwadharau?? Tusidanganyane mkuu kila mwanamke ana pricetag ndo mana unashupalia huwez kwa elf 20 akati umeulizwa ingekua 100k je? Hapo huo uji atatembeza siku ngap na vicoba wamemkalia kooni rejesho? Kwa mbaali labda mwanamke anaeweza kusema hana price ni yule kaolewa bikra kwa kujitunza na kukwepa vishawishi basi! But na yeye kuna wakali hajakutana nao tu.
Kwan hamisa anajiuzza?? Yule ni mpenz wake he can do anything for kama mentality zenu zinasema hamisa anajiuzza sawa ila mim nachojua wale ni watu wenye mahusiano na mwanaume ameona amtoe mpenz wake out wanaume wa tz mnaona kero na kuumia kuona mwanaume anaspend pesa zake Kwa mwanamke wake mwisho wake ndo et mwanamke anajiuza hamjawah kua positive na hii ni sababu pesa hamna hizi kelele zisingekuwepo
 
Wakuu, kama kama mkeo anacheza upatu, vikoba etc. Ana you asilimia kubwa sana za kuchepuka.

Kibaya zaidi hawa wake zetu wanacheza hii michezo kwa siri.

Unakuta mkeo ana mchezo wa buku kwa siku, elfu kumi kila ijumaa, ana mchezo wa elfu 10 kwa mwezi wapo 50, laki mbili kwa mwezi wapo kumi.

Ana kikoba kila week anapeleka elfu 30, mwisho wa mwezi anapeleka elfu 50, kiingilio cha kikoba 200,000, broo utagongewa tu, kibaya zaidi wanacheza kwa siri.

Hata pale anapokwama anaona nongwa kukueleza, anajikuta anashawishika huko nje. Haoni shida kuutoa mwili wake atatue shida zake (asiaibike)

Vikoba vinawapeleka puta wanawake wanahaha kutafuta pesa za marejesho, siyo waajiriwa, wafanya biashara, mama wa nyumbani.
Na hakuna Cha maana wanafanya...!
Wakipata pesa ni kununua Mikoba mipya, Vitenge vya gharama...!
 
Back
Top Bottom