Vikoba, upatu, vyanzo vya wake za watu wengi kuchepuka

Vikoba, upatu, vyanzo vya wake za watu wengi kuchepuka

Wanawake wanaojiingiza kwenye hiyo michezo mingi kwa wakati mmoja, wengi wao wnaagawa sana, hili swala watalipinga kwa nguvu kuficha aibu lakini tunawaona mtaani wanavyo sulubika, afu kwavile wanaingiliwa na wanaume tofauti tofauti hata nuru usoni wamepoteza
Nielekezeni hao wanawake wanapatikana wapi na mie niwaonje
 
Wakuu, kama kama mkeo anacheza upatu, vikoba etc. Ana you asilimia kubwa sana za kuchepuka.

Kibaya zaidi hawa wake zetu wanacheza hii michezo kwa siri.

Unakuta mkeo ana mchezo wa buku kwa siku, elfu kumi kila ijumaa, ana mchezo wa elfu 10 kwa mwezi wapo 50, laki mbili kwa mwezi wapo kumi.

Ana kikoba kila week anapeleka elfu 30, mwisho wa mwezi anapeleka elfu 50, kiingilio cha kikoba 200,000, broo utagongewa tu, kibaya zaidi wanacheza kwa siri.

Hata pale anapokwama anaona nongwa kukueleza, anajikuta anashawishika huko nje. Haoni shida kuutoa mwili wake atatue shida zake (asiaibike)

Vikoba vinawapeleka puta wanawake wanahaha kutafuta pesa za marejesho, siyo waajiriwa, wafanya biashara, mama wa nyumbani.
Si mnataka watafute Hela? Watatafta kwa Kila njia, dawa weka vigezo na mashart katika ndoa Yako siku ukijua anacheza huo mchezo ndo mwisho wa safari yenu, hata akicheza kwa Siri kama uko makini utajua tu
 
Ah wacha wake wakatombwe bwana wewe kila leo umtimbage wewe tuu....anachoka libolo lako ujue
 
Back
Top Bottom