Vikoba, upatu, vyanzo vya wake za watu wengi kuchepuka

Vikoba, upatu, vyanzo vya wake za watu wengi kuchepuka

Wanasemaga mdada akikuomba hela mda mfupi baada ya kumtongoza ni kwamba hakupendi, ila mm kuna baadhi ya wadada anakupiga mizinga halafu bado anakuonesha ishara za kutaka kuwa kwenye mahusiano na wewe..

Halafu ukiwawikimbia nahisi wanajuaga kabisa kwamba unawakwepa sababu wanaomba sana hela MubengaJr
Hela za vikoba .wisho wa Mwaka anavuna 2M wewe umeambulia Mbususu mwaka mzima
 
Niliwahi kumtongoza dada mmoja baada ya siku tatu nimetoka kazini nampigia, akaniambia yupo kwenye kikao. Nikauliza ni kikao cha nini akasema wana kikundi chao.

Nikajisemea moyoni huyu hatufiki mbali. Siku iliyofuata nikamtafuta ananiambia mdogo wake anaumwa.

Nikamwambia Mamiloo subiri nitakupigia. Nikakata simu baada ya saa mbili nikamcheki ananiambia amepata changamoto gesi imemuishia.

Malaika wa mungu akanishukia akaniambia nimblock na kumove on.

Hii ni sababu kubwa inapelekea huko mitaani kuna wadada unawaona na kujiuliza kwa nini huyu naye hajaolewa.

Mungu atusaidie.
Na hapo anajiona sababu ni mzuri kuna Msukuma.wake ananpa peda bila kujiuliza uliza.

Hapo ukijichomeka braza umekwisha utabaki kuilaumu ccm na mafisadi 😅😅
 
Kila mtu na tabia zake wengine tupo kwenye vikundi lakin tunapambna yaan nilale na mtu kisa 20k [emoji849]
sio wote ndio ila tulioko field tunawaona wanavyojaa kwenye radar...

Tena 20k nyingi sana, wengine wanatoa free ili kujiwekea uhakika wa rejesho lijalo😅😅
Screenshot_20250203-073358.jpg
 
Niliwahi kumtongoza dada mmoja baada ya siku tatu nimetoka kazini nampigia, akaniambia yupo kwenye kikao. Nikauliza ni kikao cha nini akasema wana kikundi chao.

Nikajisemea moyoni huyu hatufiki mbali. Siku iliyofuata nikamtafuta ananiambia mdogo wake anaumwa.

Nikamwambia Mamiloo subiri nitakupigia. Nikakata simu baada ya saa mbili nikamcheki ananiambia amepata changamoto gesi imemuishia.

Malaika wa mungu akanishukia akaniambia nimblock na kumove on.

Hii ni sababu kubwa inapelekea huko mitaani kuna wadada unawaona na kujiuliza kwa nini huyu naye hajaolewa.

Mungu atusaidie.
Mshukuru sana huyo malaika wa Mungu aliyekushukia! 😁😁😁
 
Wanawake wanaojiingiza kwenye hiyo michezo mingi kwa wakati mmoja, wengi wao wangawa sana, hili swala watalipinga kwa nguvu kuficha aibu lakini tunawaona mtaani wanavyo sulubika, afu kwavile wanaingiliwa na wanaume tofauti tofauti hata nuru usoni wamepoteza
 
Wakuu, kama kama mkeo anacheza upatu, vikoba etc. Ana you asilimia kubwa sana za kuchepuka.

Kibaya zaidi hawa wake zetu wanacheza hii michezo kwa siri.

Unakuta mkeo ana mchezo wa buku kwa siku, elfu kumi kila ijumaa, ana mchezo wa elfu 10 kwa mwezi wapo 50, laki mbili kwa mwezi wapo kumi.

Ana kikoba kila week anapeleka elfu 30, mwisho wa mwezi anapeleka elfu 50, kiingilio cha kikoba 200,000, broo utagongewa tu, kibaya zaidi wanacheza kwa siri.

Hata pale anapokwama anaona nongwa kukueleza, anajikuta anashawishika huko nje. Haoni shida kuutoa mwili wake atatue shida zake (asiaibike)

Vikoba vinawapeleka puta wanawake wanahaha kutafuta pesa za marejesho, siyo waajiriwa, wafanya biashara, mama wa nyumbani.
Ukiwa makini utajua, japo ni wasiri kweli ila kuna vishiria vingi vya kuona wanachofanya.
 
Back
Top Bottom