Vikoba, upatu, vyanzo vya wake za watu wengi kuchepuka

Sehem zao za sir ndizo zinaumia wanawake tunatia aibu
Kuna mmoja kila siku ananikera akiwa period ananiambia nimtaftie dawa ya kukara damu ana danga ili apate marejesho hayo ndo mambo ya pippin kamara
 
Niunganishe
 
Kuna mmoja kila siku ananikera akiwa period ananiambia nimtaftie dawa ya kukara damu ana danga ili apate marejesho hayo ndo mambo ya pippin kamara
Naona hizo dawa zinatumiwa sana na barmaids ila hawajui madhara yake
 
Na mrejesho pia.
 
Sasa wewe umeanja kunifahamu vizuri πŸ˜œπŸ˜…
Si unajua lazma umjue wa karibu yako before attaaack πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa hiyo wewe team mafupa laini yale lazma liwe la mwisho ugombane nalo vizuri πŸ˜‚
 
Si unajua lazma umjue wa karibu yako before attaaack πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa hiyo wewe team mafupa laini yale lazma liwe la mwisho ugombane nalo vizuri πŸ˜‚
Huyu ndo mimi na wameishanijua kabisa πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…