The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Peace be upon you all,
Nadhani lengo la vikoba (sijui kama napatia spelling) ilikua kuwasaidia wanawake kiuchumi ila sote tunachoshuhudia ni tofauti kabisa. Vikoba vimekua kitanzi cha miiba mwitu kwa wanawake.
Jambo moja lililonikutanisha na marafiki wa kike wengi kabisa wa zamani ni marejesho ya vikoba. Yani 60% ya marafiki wanawake niliokua nimepotezana nao tumekutanishwa na marejesho yao. Utashangaa namba mpya kupokea anajitambulisha "ooh mimi flani, za masiku bla bla bla ooh jamani kitambo" alafu anapiga nyundo "naomba 50K nina marejesho leo na nimekwamba nimetafuta namba yako kwa kina X na Y"
Hao kina X and Y baada ya week na wao wanapiga kuomba "hela ya marejesho" Na wanapoomba wako tayari kuja popote wapewe. Hakuna wanawake wapesi kutafunwa kama hawa wa marejesho hata kwenye uzi wa rickboy kuna visa vingi vya kuliwa kimasihara.
Kinachosikitisha wanawake wengi (sio wote) hawana mipango yoyote, anakopa hela halafu hana mpango wa kuizalisha anaitumbua alafu kila week anaanza kuhangaika na marejesho.
Hata ikitokea kakuomba na umempatia hela ya marejesho ya week hii ukimuuliza week ijayo atapataje hana mpango wowote aise kweli wanawake ni viumbe dhaifu.
Wengi wamegeuka kua malaya wa rejareja ili tu wapate marejesho, wengine wamekua matapeli na matapeli haswa kuna jamaa zangu wametibuana na wanawake kadhaa baada ya kuwakopesha hela wakalipe marejesho na hawakuwalipa.
Mwanamke hata kama ameolewa akishajiingiza kwenye mavikoba lazima tabia ya umalaya na utapeli tapeli imnyemelee.
Kama unataka kumtafuna mwanamke flani hata kama ni mzuri kama Cleopatra na unajua ana mavikoba badilishana nae namba tulia, iko siku atakutafuta umsaidie marejesho, hiyo siku muite kumpa marejesho tafuna mpe "marejesho" imeisha hiyo.
Wanapotafuta marejesho hua wanakua kama vichaa wanachowaza ni kupata marejesho kwa namna yoyote. Tunaweza kuhitimisha kua vikoba na chimbuko jipya la umalaya ni kama biashara na ushirikina, kama supu na chapati mbili, kama traffic na rushwa au kama mademu wembamba na ubishi.
ASAP