Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kawaida ya watu wenye roho mbaya,wauaji,makatili na wenye ushetani. Huwa wakimaliza kula wengine wanarudi hadi kwao.
Uturuki ni Taifa la Kiislamu. Imagine linashambuliwa. Huko Ulaya ambako kuna makafiri wengi Waislamu ndo wanapenda kukimbilia.hawataki kwenda Egypt,Saudia Arabia,Oman,Morocco,Iran,Iraq,Syria n.k
Uturuki yajibu mapigo. Yawashambilia Wakurd.
==============
Vikosi vya anga vya Uturuki vimeshambulia maeneo ya wanamgambo wa Kikurdi nchini Syria na Iraq kwa siku ya pili Alhamisi, baada ya shambulio kwenye kampuni ya ulinzi lililosababisha vifo vya watu watano. Shirika la ujasusi la Uturuki lilisema liliwalenga PKK na wanamgambo wa Kikurdi wa Syria, ikiwemo vituo vya kijeshi, nishati, na maghala ya silaha kwa kutumia droni. Shambulio hilo limetokea kukiwa na ishara za kusamehewa kwa kiongozi wa PKK Abdullah Ocalan.
Chanzo DW