Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Wewe ni mgeni wa historia za jamii nje ya afrika. Kimsingi nchi karibu zote za Ulaya na Asia kati zimeundwa kwa misingi ya Kikabila. kama siyo athari za ukoloni wa Uingereza katika eneo hilo la asia ya kati Wakurdi wangekuwa na Taifa lao la Kurdistan katikati ya nchi za Uturuki, Iraq na Syria kama ilivyo kwa Tajistarn, Aberjistan, Afganistan, pakistan n.k.Kurdish ni kama wamasai waliochangamka
Wako kila sehemu hapo Mashariki ya kati
Huwa wanataka wajitawale na wawe na nchi yao., maana hata Iraq wakati ule Saddam aliwauwa sana
Wanapatikana Syria, Iraq, Iran na Turkey
Soma historia yao boss
Hata kwa Ayatolah hawapendwi
Wakurdi ni jamii kubwa sana katika eneo hilo la Asia ya kati. Babu wa wayahudi (Ibrahimu ametoka katika jamii hiyo ya Wakurdi. Kwa msingi huo wakurdi na wayahudi wana uhusiano wa kinasaba ndo maana marekani na Israel wanawa support wakurdi