Vikosi vya anga vya Uturuki vimeshambulia maeneo ya wanamgambo wa Kikurdi nchini Syria na Iraq

Wakurd wanataka wamege ardhi Iraq,Syrya,Iran na Turkey waunde taifa lao.
Iyo ni ngumu sana kwao ni mpaka wapigane na mataifa yote hayo wayashinde ndio wapate nchi yao ya Kurdistan.
 
Kwahiyo wewe taifa la kiislamu ndio halina migogoro? Wakurdi wanataka kitu kingine kabisa wala hawana uhusiano na dini
 
Waturuki ni Waislamu na Wakurd ni Waislamu ambao katika imani zao wanaamini sana katika Violence na Ugaidi.
Sawa Ukraine na Urusi nao ni waislamu?maana unataka kutuaminisha kila ugomvi imani za dini zipo
 
We jamaa ni fala , wakurdi ni waislamu na wapo katika dola za kiislamu ,Syria ,Turkey ,Iraq na Iran .
Sasa vita ya kidini hapo inaingiaje ?
Wakati wakurdi lengo lao ni jamii yao kujitenga na hizo nchi ili kutengeneza taifa lako independent ?
Msiwe mnadakia mambo msiyoyajua .
Wakurdi ni kabila au ethnic mojawapo katika hayo mataifa , kama uonavyo wajaluo kenya na Tanzania au Wamasai Kenya na Tanzania .
 
watu kuunda taifa lao ndo kuwa vibaraka? watu kama wanapewa huduma za msingi kweny nchi zao wanaweza vp kuwaza kujitenga ? ukiwa na akili static bas huez chambua mambo ukaelewa
 
Sawa Ukraine na Urusi nao ni waislamu?maana unataka kutuaminisha kila ugomvi imani za dini zipo
aliyevamia mwenzie ni kipenz cha waislam na anaiga kwa mafans wake , tabia za kishamba za kutaka kila ufanyacho bas na majiran wafanye hivyo hivyo
 
Wakurd wanataka wamege ardhi Iraq,Syrya,Iran na Turkey waunde taifa lao.
Iyo ni ngumu sana kwao ni mpaka wapigane na mataifa yote hayo wayashinde ndio wapate nchi yao ya Kurdistan.
sio wamege bali hayo maeneo wanaish wao wanataka kuungana , wametenganishwa na mipaka ilihali wote ni jamii moja , sw na wamasaia wa kenya na tanzania ipo siku watahitaj kuish pamoja na kufuta mipaka pia watahitaj wapelekewe huduma sw na wafanyavyo Msoga au Lupaso au Mtamaa , huko sio kumega bali ni kubadili mfumo wa kujitawala kutok kuwa chini ya jamii nyingine na kuwa mnajitawala
 
aliyevamia mwenzie ni kipenz cha waislam na anaiga kwa mafans wake , tabia za kishamba za kutaka kila ufanyacho bas na majiran wafanye hivyo hivyo
Jibu swali Putin na Zelensky ni waislamu wale?
 
Sawa Ukraine na Urusi nao ni waislamu?maana unataka kutuaminisha kila ugomvi imani za dini zipo
Wanafanya ugaidi? Vita vipo kila sehemu but suala la Ugaidi ni la kiimani. Ugaidi unaua watu wasio na hatia. Ila tu ni kwa kuwa si Imani ya mhusika basi inakuwa ni Halal.
 
Kwanza naanza kwa kukushukuru na kukupongeza kwa lugha hiyo ya kuniita fala.nimeshaitwa majina mengi mabaya kuliko hilo. Huwa nacheka tu. Issue ni ugaidi. Ungeelewa hapo ungeweza elewa issue nzima nayozungumzia. But since you failed to understand that little concern bas ndo maana wewe mwerevu umeniona mimi fala.😁
 
Wanafanya ugaidi? Vita vipo kila sehemu but suala la Ugaidi ni la kiimani. Ugaidi unaua watu wasio na hatia. Ila tu ni kwa kuwa si Imani ya mhusika basi inakuwa ni Halal.
Kwahiyo kule Ukraine na Urusi watu wasio na hatia hawafi? na kama wanakufa tuambie ule ni ugaidi au sio ugaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…