Vikosi vya anga vya Uturuki vimeshambulia maeneo ya wanamgambo wa Kikurdi nchini Syria na Iraq

Wewe ni mgeni wa historia za jamii nje ya afrika. Kimsingi nchi karibu zote za Ulaya na Asia kati zimeundwa kwa misingi ya Kikabila. kama siyo athari za ukoloni wa Uingereza katika eneo hilo la asia ya kati Wakurdi wangekuwa na Taifa lao la Kurdistan katikati ya nchi za Uturuki, Iraq na Syria kama ilivyo kwa Tajistarn, Aberjistan, Afganistan, pakistan n.k.

Wakurdi ni jamii kubwa sana katika eneo hilo la Asia ya kati. Babu wa wayahudi (Ibrahimu ametoka katika jamii hiyo ya Wakurdi. Kwa msingi huo wakurdi na wayahudi wana uhusiano wa kinasaba ndo maana marekani na Israel wanawa support wakurdi
 
Yaani kuna mtu anatoka tu anaenda kulipua mall?restaurant?
Kama alivyo fanya Putin na jeshi lake, katoka kwake kavuka boda kaenda kulipua shule, hospital, nyumba , watoto, wamama, wazee wa Ukraine wakati Ukraine hajaua hata Paka wa Urusi
 
Wakurdi siyo magaidi, Wakurdi wanapigania haki yao ya Taifa iliyoporwa wakati wa ukoloni wa Muingereza na na eneo lao kuganywa baina na mataifa ya Uturuki, Iraq, Syria na Iran.
 
Kama alivyo fanya Putin na jeshi lake, katoka kwake kavuka boda kaenda kulipua shule, hospital, nyumba , watoto, wamama, wazee wa Ukraine wakati Ukraine hajaua hata Paka wa Urusi
Vitani au Ukraine walikuwa wana mambo yao tu kama kawaida hawana hili wala lile? Kama ni vitani. Vita ni Vita Mura.... Havina macho.
 
Huyu rais Edrogan huwa akipiga makelele kuwatetea wapalestina na hamas pindi israel inapojibu mapigo kwa mashambulizi ya hamas amefikia hatua ya kumbatiza netanyahuu jina Hittler cha ajabu na yeye huwashambulia wakurdi je huu ni unafiki wa aina gani kumtuhumu mwenzio kwa kitendo wewe mwenyewe unakifanya?
 
Ndo israel wamemwambia akae kwa kutulia awasikilize wakurdi wanataka nini awape. Kama anavyowashauri wenzie. Mungu hamfichi Mnafiq.
 
.............Huko Ulaya ambako kuna makafiri wengi Waislamu ndo wanapenda kukimbilia.hawataki kwenda Egypt,Saudia Arabia,Oman,Morocco,Iran,Iraq,Syria n.k
Yaani we mtu mweusi uliopo huko Kinampamnda unaonyesha wivu na chuki kwa waarabu kwenda Ulaya!.....alafu waohao waarabu na wazungu hawana hata habari ya uwepo wako Duniani.

Bro...tafuta Hela kwa nguvu zote, Dunia utaiona nyepesi na vitu vyengine utavipuuza.
 
Nashauri wewe ndo utafute pesa maana kwa umaskini wako na upeo mdogo unaamini wote mnaishi kinampanda. Kumbe wenzio tupo Ulaya..,.🤣 Kama wale ambao wanaamini dsm ndo kila kitu.
 
Sawa Ukraine na Urusi nao ni waislamu?maana unataka kutuaminisha kila ugomvi imani za dini zipo
Jifunze kutofautisha vita kati ya nchi na vita dhidi ya magaidi ya kidini kama Hezbollah, Hamas, isis, alkaida nk
 
Ndo israel wamemwambia akae kwa kutulia awasikilize wakurdi wanataka nini awape. Kama anavyowashauri wenzie. Mungu hamfichi Mnafiq.
Kila siku anawatwanga wakurdi na kuwaita magaidi, ila Israel akiwatandika hamas na Hezbollah analaumiwa kwa kuuwa wanawake na watoto
 
Jifunze kutofautisha vita kati ya nchi na vita dhidi ya magaidi ya kidini kama Hezbollah, Hamas, isis, alkaida nk
acha kuchanganya mambo hoja ya msingi ni uhasama wa nchi ya Uturuki na watu wanaotaka kujitenga wakurdi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…