Vikwazo dhidi ya Urusi vyazidi kuichakaza EU. This time

State Propaganda

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2024
Posts
542
Reaction score
1,286
Viongozi wa mashirika ya ndege ya umoja wa ulaya (EU airlines bosses) kwa kaulj ya pamoja wamezitaka kampuni za ndege kutoka china kuwekewa tozo kwa kile walichokidai ni ushidnani usiokuwa na usawa katika biashara (unfair competition) kwa kuwa na advantage ya kuendelea kupitisha ndege zao katika anga la Urusi, ihali ndege zao kuzuiliwa.

Ikumbukwe kuwa baada marekani pamoja na nchi za ulaya kuiwekea vikwazo Moscow ikiwa ni pamoja na kutoziruhusu ndege za Urusi kupita katika anga la ulaya, Urusi nayo ilijibu mapigo kwa kufunga anga lake kwa nchi ambazo sio rafiki (unfriendly nations), na kuruhusu tu nchi rafiki kuendelea kutumia anga lake- hali iliyozilazimu ndege za EU kubadili ruti zake, jambo lililopelekea kuongezeka kwa matumizi ya mafuta na kupanda kwa gharama za undeshaji.

Hivi sasa, Mashirika ya ndege ya ulaya yameamua kufuta safari za ndege za mashariki ya mbali kutokana na hasara kubwa wanazozipata, huku baadhi ya kampuni kama Finnair ikitangaza kufilisika kabisa.

IMG_20241009_101209.jpg
 
For the First time ever, Urusi inakuwa inchi ya kwanza duniani kwa kuzidi kuneemeka ndani ya muda mfupi dhidi ya vikwazo vingi walivyowekea.

Tena this time mpaka washirika wake wa karibu kama China nao wana nemeeka na kufaidi baraka kutoka katika vikwazo vya Urusi.
 
Viongozi wa mashirika ya ndege ya umoja wa ulaya (EU airlines bosses) kwa kaulj ya pamoja wamezitaka kampuni za ndege kutoka china kuwekewa tozo kwa kile walichokidai ni ushidnani usiokuwa na usawa katika biashara (unfair competition) kwa kuwa na advantage ya kuendelea kupitisha ndege zao katika anga la Urusi, ihali ndege zao kuzuiliwa.

Ikumbukwe kuwa baada marekani pamoja na nchi za ulaya kuiwekea vikwazo Moscow ikiwa ni pamoja na kutoziruhusu ndege za Urusi kupita katika anga la ulaya, Urusi nayo ilijibu mapigo kwa kufunga anga lake kwa nchi ambazo sio rafiki (unfriendly nations), na kuruhusu tu nchi rafiki kuendelea kutumia anga lake- hali iliyozilazimu ndege za EU kubadili ruti zake, jambo lililopelekea kuongezeka kwa matumizi ya mafuta na kupanda kwa gharama za undeshaji.

Hivi sasa, Mashirika ya ndege ya ulaya yameamua kufuta safari za ndege za mashariki ya mbali kutokana na hasara kubwa wanazozipata, huku baadhi ya kampuni kama Finnair ikitangaza kufilisika kabisa.
View attachment 3119639
Habari njema sana hii,dawa ya jeuri ni kiburi tu,hongera zao Russia
 
For the First time ever, Urusi inakuwa inchi ya kwanza duniani kwa kuzidi kuneemeka ndani ya muda mfupi dhidi ya vikwazo vingi walivyowekea.

Tena this time mpaka washirika wake wa karibu kama China nao wana nemeeka na kufaidi baraka kutoka katika vikwazo vya Nadhani ndio maana Urusi yupo reluctant kuomba mazungumzo. Nasikia anamuuzia India mafuta halafu yeye anawauzia wahitaji.
 
Mpaka waje kugundua ..itakuwa too
Hawa viongozi ni kama hawanaakili mpaka najiuliza waliwezaje kututawala ..mpaka
Kadri anavyotumia muda mrefu vitani na Ukraine,ndivyo wanavyozidi kuumia.Kwa kifupi ile vita itachukua mda mrefu,aliyevianzisha ndie anaejua mwisho WA vita.
 
Waziri mkuu wauingereza Starmer anasema nchi yake itaendelea kutoa misaada ya kivita kwa Ukraini ili kuendelea ku prolong vita kwani anaamini hadi ifikapo 2025 urusi itakuwa imeishiwa nguvu za kivita. 😂😂😂.

Hapo ndipo utabaini akili za viongozi wa magharibi ni za namna gani
 
Back
Top Bottom