aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 8,724
- 24,474
Kwenye kipi?Bahati nzuri Tanzania tupo vizuri.
Kwenye kipi?Bahati nzuri Tanzania tupo vizuri.
Huu Uzi ulipoandika ulikuwa na taarifa falani?Wamesahau hata south Africa,Israel nazo zilikua ni mataifa huru?
Maana wakati wa ubaguzi wa rangi Tanzania ilikua mstari wa mbele kuwatetea watu waliokua wanateswa na kubaguliwa na Makaburu na waisrael.
Tanazania ilipiga kampeni Makaburu wawekewe vikwazo.
Kwa ajili ya kuwatetea akina Mandela na hata wapalestina.
Ilipiga kampeni kwa nchi za jumuiya ya Madola kuiwekea vikwazo SA.
HahahaMsigwa anadili kupinga tone tone
Kwenye kipi?
Kwenye nyanja zote.Kwenye kipi?