Vikwazo tulivyowekewa na Marekani kuanza rasmi tarehe 01/01/2026

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Effective January 1, 2026, at 12:01 a.m. EST, in line with Presidential Proclamation 10998 on “Restricting and Limiting the Entry of Foreign Nationals to Protect the Security of the United States,” the Department of State is partially suspending visa issuance to nationals of 19 countries – Angola, Antigua and Barbuda, Benin, Burundi, Cote D’Ivoire, Cuba, Dominica, Gabon, The Gambia, Malawi, Mauritania, Nigeria, Senegal, Tanzania, Togo, Tonga, Venezuela, Zambia, and Zimbabwe – for nonimmigrant B-1/B-2 visitor visas and F, M, J student and exchange visitor visas, and all immigrant visas with limited exceptions for:

•Immigrant visas for ethnic and religious minorities facing persecution in Iran
•Dual nationals applying with a passport of a nationality not subject to a suspension
•Special Immigrant Visas (SIVs) for U.S. government employees under 8 U.S.C. 1101(a)(27)(D)
•Participants in certain major sporting events
•Lawful Permanent Residents (LPRs).
==============

Tulimwambia Kombo na chawa wanapoteza muda bure na resources za nchi kuzurula kwenye nchi za watu.
 
Kuanzia Januari 1, 2026 saa 6:01 usiku kwa saa za Marekani Mashariki (EST), kufuatia Tamko la Rais namba 10998 kuhusu “Kuzuia na Kudhibiti Uingiaji wa Raia wa Kigeni kwa Lengo la Kulinda Usalama wa Marekani,” Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inasitisha kwa sehemu utoaji wa visa kwa raia wa nchi 19 – ambazo ni: Angola, Antigua na Barbuda, Benin, Burundi, Cote D’Ivoire, Cuba, Dominica, Gabon, Gambia, Malawi, Mauritania, Nigeria, Senegal, Tanzania, Togo, Tonga, Venezuela, Zambia, na Zimbabwe.

Usitishaji huu unahusu visa za wageni wa muda mfupi za aina ya B-1/B-2 (ziara na biashara), pamoja na visa za wanafunzi na wanaobadilishana kielimu (F, M, J), pamoja na visa zote za uhamiaji – isipokuwa kwa wachache waliotajwa hapa chini:

- Visa za uhamiaji kwa wachache wa kikabila na kidini wanaokumbwa na mateso nchini Iran

- Raia wenye uraia wa nchi mbili wanaotuma maombi kwa kutumia pasi ya kusafiria ya nchi isiyohusika na marufuku

- Visa Maalum za Uhamiaji (SIVs) kwa wafanyakazi wa serikali ya Marekani chini ya kifungu 8 U.S.C. 1101(a)(27)(D)

- Washiriki wa baadhi ya mashindano makubwa ya michezo

- Wakazi wa Kudumu wa Kisheria (Green Card holders)
 
Nataka kuona hivyo vikwazo mpaka kufika tarehe 03, kama tutakufa njaa..Yaani unajipa wasiwasi katika vitu hazina uhusiano kabisa na maisha yako..Sasa niambie unaogopa nn wakati hata baba yako hajawahi kufika huko😅😅

Sio vikwaza ,massive deportation inatakiwa kufanyika hapo mtaanza kutumia akili zenu badala ya kukariri kingereza..Mmeacha mapori kwenu mnaenda kushangaa maghorofa.
 
Nashukuru umewasaidia machawa walikuwa hawajaelewa nini kinaenda kuwakuta kina Mwigulu.
 
Nataka kuona hivyo vikwazo mpaka kufika tarehe 03, kama tutakufa njaa..Yaani unajipa wasiwasi katika vitu hazina uhusiano kabisa na maisha yako..Sasa niambie unaogopa nn wakati hata baba yako hajawahi kufika huko😅😅

Sio vikwaza ,massive deportation inatakiwa kufanyika hapo mtaanza kutumia akili zenu badala ya kukariri kingereza..Mmeacha mapori kwenu mnaenda kushangaa maghorofa.
Kama hujui kilichoandikwa kuna member amewawekea tafsiri kwa kiswahili.

Exception for,

•Lawful Permanent Residents (LPRs
 
Back
Top Bottom