The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Isipokuwa:
Habib Mchange na chawa wenzake walikuwa wanafurahi kweli kuwa sasa Mange Kimambi atakuwa deported kwa uamuzi huu wa Donald Trump...- Wakazi wa Kudumu wa Kisheria (Green Card holders)
potelea mbali haituhusu kwa vile sisi tunaishi TanzaniaKama hujui kilichoandikwa kuna member amewawekea tafsiri kwa kiswahili.
Exception for,
•Lawful Permanent Residents (LPRs
Nimekwambia hujui kilichoandikwa tafuta mtu akutafsirie au subiri Msigwa awajibu ndipo utajua hata watanzania inawahusu.potelea mbali haituhusu kwa vile sisi tunaishi Tanzania
Kuanzia Januari 1, 2026 saa 6:01 usiku kwa saa za Marekani Mashariki (EST), kufuatia Tamko la Rais namba 10998 kuhusu “Kuzuia na Kudhibiti Uingiaji wa Raia wa Kigeni kwa Lengo la Kulinda Usalama wa Marekani,” Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inasitisha kwa sehemu utoaji wa visa kwa raia wa nchi 19 – ambazo ni: Angola, Antigua na Barbuda, Benin, Burundi, Cote D’Ivoire, Cuba, Dominica, Gabon, Gambia, Malawi, Mauritania, Nigeria, Senegal, Tanzania, Togo, Tonga, Venezuela, Zambia, na Zimbabwe.
Usitishaji huu unahusu visa za wageni wa muda mfupi za aina ya B-1/B-2 (ziara na biashara), pamoja na visa za wanafunzi na wanaobadilishana kielimu (F, M, J), pamoja na visa zote za uhamiaji – isipokuwa kwa wachache waliotajwa hapa chini:
- Visa za uhamiaji kwa wachache wa kikabila na kidini wanaokumbwa na mateso nchini Iran
- Raia wenye uraia wa nchi mbili wanaotuma maombi kwa kutumia pasi ya kusafiria ya nchi isiyohusika na marufuku
- Visa Maalum za Uhamiaji (SIVs) kwa wafanyakazi wa serikali ya Marekani chini ya kifungu 8 U.S.C. 1101(a)(27)(D)
- Washiriki wa baadhi ya mashindano makubwa ya michezo
- Wakazi wa Kudumu wa Kisheria (Green Card holders)
Nataka kuona hivyo vikwazo mpaka kufika tarehe 03, kama tutakufa njaa..Yaani unajipa wasiwasi katika vitu hazina uhusiano kabisa na maisha yako..Sasa niambie unaogopa nn wakati hata baba yako hajawahi kufika huko😅😅
Sio vikwaza ,massive deportation inatakiwa kufanyika hapo mtaanza kutumia akili zenu badala ya kukariri kingereza..Mmeacha mapori kwenu mnaenda kushangaa maghorofa.
Nataka kuona hivyo vikwazo mpaka kufika tarehe 03, kama tutakufa njaa..Yaani unajipa wasiwasi katika vitu hazina uhusiano kabisa na maisha yako..Sasa niambie unaogopa nn wakati hata baba yako hajawahi kufika huko😅😅
Sio vikwaza ,massive deportation inatakiwa kufanyika hapo mtaanza kutumia akili zenu badala ya kukariri kingereza..Mmeacha mapori kwenu mnaenda kushangaa maghorofa.
Ulivo juha na kufuba kwa akili yako ya kitumwa umekurupuka mbio kuanzisha uzi as if umesema kitu cha maana kumbe !mavfi yako. toa harufu za matako yako. Marekani marekani kama ndio wanakukaza wewe usitulazimishe sote msenge wewe.Effective January 1, 2026, at 12:01 a.m. EST, in line with Presidential Proclamation 10998 on “Restricting and Limiting the Entry of Foreign Nationals to Protect the Security of the United States,” the Department of State is partially suspending visa issuance to nationals of 19 countries – Angola, Antigua and Barbuda, Benin, Burundi, Cote D’Ivoire, Cuba, Dominica, Gabon, The Gambia, Malawi, Mauritania, Nigeria, Senegal, Tanzania, Togo, Tonga, Venezuela, Zambia, and Zimbabwe – for nonimmigrant B-1/B-2 visitor visas and F, M, J student and exchange visitor visas, and all immigrant visas with limited exceptions for:
•Immigrant visas for ethnic and religious minorities facing persecution in Iran
•Dual nationals applying with a passport of a nationality not subject to a suspension
•Special Immigrant Visas (SIVs) for U.S. government employees under 8 U.S.C. 1101(a)(27)(D)
•Participants in certain major sporting events
•Lawful Permanent Residents (LPRs).
==============
Tulimwambia Kombo na chawa wanapoteza muda bure na resources za nchi kuzurula kwenye nchi za watu.
Usiwasahau wanasiasa na viongozi wa serikali ambao ndio walengwa wakuu.Itawaathiri sana wanafunzi waliojipanga kusoma USA na na wafanyabiashara ambao biashara zao zinategemea wao kusafiri kwenda USA kufanya dili pamoja na waliotaka kwenda kutalii ma kutembelea ndugu zao.
Hasira za nini, bucking at a wrong tree, mlaumu mama yako aliyemtukana Trump kwangu utachoka for nothing.Ulivo juha na kufuba kwa akili yako ya kitumwa umekurupuka mbio kuanzisha uzi as if umesema kitu cha maana kumbe !mavfi yako. toa harufu za matako yako. Marekani marekani kama ndio wanakukaza wewe usitulazimishe sote msenge wewe.
Effective January 1, 2026, at 12:01 a.m. EST, in line with Presidential Proclamation 10998 on “Restricting and Limiting the Entry of Foreign Nationals to Protect the Security of the United States,” the Department of State is partially suspending visa issuance to nationals of 19 countries – Angola, Antigua and Barbuda, Benin, Burundi, Cote D’Ivoire, Cuba, Dominica, Gabon, The Gambia, Malawi, Mauritania, Nigeria, Senegal, Tanzania, Togo, Tonga, Venezuela, Zambia, and Zimbabwe – for nonimmigrant B-1/B-2 visitor visas and F, M, J student and exchange visitor visas, and all immigrant visas with limited exceptions for:
•Immigrant visas for ethnic and religious minorities facing persecution in Iran
•Dual nationals applying with a passport of a nationality not subject to a suspension
•Special Immigrant Visas (SIVs) for U.S. government employees under 8 U.S.C. 1101(a)(27)(D)
•Participants in certain major sporting events
•Lawful Permanent Residents (LPRs).
==============
Tulimwambia Kombo na chawa wanapoteza muda bure na resources za nchi kuzurula kwenye nchi za watu.
Mama yenu alimpeleka Kombo Marekani kufanya nini.Acha kuwa mtumwa na mabeberu Tanzania ni nchi huru
Acha kuwa mtumwa na mabeberu Tanzania ni nchi huru
Watoto wangu ni raia wa marekani ( tundulisu)sawa kabisa kama tu maji yako ya kunywa unaagiza ktk USA ni lazima uone nchi huru kwani uko peponi, lkn kwa waliobakia wako jehanamu na hawana chochote cha kupoteza hata kama ikiungua yote ...
Lissu kaingiaje hapa.Watoto wangu ni raia wa marekani ( tundulisu)
Kwani wewe inakuhusu ? Fanya kzi kijana acha uvivu.Ukiona hivyo ujue haikuhusu au ipo nje sana ya ufahamu wako, waachie wanaojua maana yake including wanasiasa, kwani lazima ujue au uhusikie kwa kila kitu humu duniani ndugu? Endeelea tu kucheza ngoma za madogoli huko handeni tu ila mama abduli, mwane na wenzake wanajua ndo maana wamemtuma mzee kombo na mtumbo wake akapige debe kwa akina baba levo wa Washington DC.
Hawa ndo wanalalamika kuumizwa na vikwazo vya marekani, sasa kama familia Yako ipo Tanzania utaenda marekani kufanya nnLissu kaingiaje hapa.
Yep, pesa wanaiba Tanganyika wanazipeleka huko. Wengi wao ndio wana majumba, investment, familia, ndugu, watoto wao wanasoma na kuishi huko.Usiwasahau wanasiasa na viongozi wa serikali ambao ndio walengwa wakuu.