Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Urusi vyawalenga watoto wa Rais Putin

Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Urusi vyawalenga watoto wa Rais Putin

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Marekani imesema inaamini Mali nyingi za Rais wa Urusi, Vladimir Putin zimefichwa na Wanafamilia. Kauli hiyo inakuja kufuatia vikwazo vipya vilivyotangazwa dhidi ya Watu wa karibu wa Putin wakiwemo Mabinti zake wawili

Taarifa ya Marekani imemtaja Katerina Vladimirovna Tikhonova kama Mkurugenzi kwenye Masuala ya Teknolojia ambaye kazi yake inasaidia Serikali ya Urusi na Sekta ya Ulinzi

Binti mwingine wa Putin, Maria Vladimirovna Vorontsova anatajwa kuongoza Programu zinazofadhiliwa na Serikali ambazo zimepokea mabilioni ya Dola

======

The US has imposed sanctions against Russian President Vladimir Putin's inner circle, including his daughters

The list also includes the family of Foreign Minister Sergei Lavrov and major banks

The measures follow new revelations of atrocities by Russian troops in Ukraine, including images of bodies of civilians scattered on the streets of Bucha, near the capital Kyiv

Russia says, without evidence, the images are staged by Kyiv officials

Even though satellite images have shown the civilians were killed when Russians were in control of Bucha, Mr Putin on Wednesday described the event as a "crude and cynical provocation by the Kyiv regime"

Referring to the Bucha murders, US President Joe Biden said on Wednesday: "There's nothing less happening than major war crimes."

"Responsible nations have to come together to hold these perpetrators accountable," Mr Biden added

The US said that Mr Putin's daughters, Katerina Vladimirovna Tikhonova and Maria Vladimirovna Vorontsova, were being put under sanctions "for being the adult children of Putin, a person whose property and interests in property are blocked"

The announcement described Ms Tikhonova as "a tech executive whose work supports the GoR [Russian government] and defense industry".

Her sister, Ms Vorontsova, it went on, "leads state-funded programs that have received billions of dollars from the Kremlin toward genetics research and are personally overseen by Putin"

Asked why the US was targeting Mr Putin's daughters, a senior Biden administration official said the US thought they could be in control of some of their father's assets

"We have reason to believe that Putin, and many of his cronies, and the oligarchs, hide their wealth, hide their assets, with family members that place their assets and their wealth in the US financial system, and also many other parts of the world," the official said.

"We believe that many of Putin's assets are hidden with family members, and that's why we're targeting them."
The US sanctions announced by the White House include:
  • economic measures to ban new investment in Russia
  • severe financial sanctions on Russia's largest private bank, Alfa Bank, and its largest financial institution, Sberbank
  • sanctions on critical major state-owned enterprises
  • sanctions on Russian government officials and their family members
Meanwhile the UK has announced further sanctions against eight oligarchs and Russian banks, including the country's largest, Sberbank, and Credit Bank of Moscow

The European Union is also debating cutting off Russian coal imports as concern over alleged war crimes increases

Before the new raft of sanctions was announced in Washington, Ukrainian President Volodymyr Zelensky said he could not "tolerate any indecisiveness"

Speaking to the Irish parliament on Wednesday, he said there was still a need to convince some in Europe who believe "war and war crimes are not as horrific as financial losses" to back tougher sanctions

He added that "Russian oil cannot feed the Russian military machine", with Ukraine's foreign minister arguing on Twitter that an embargo on gas and oil was needed to truly impact Russia's ability to finance the war.

Source: BBC
 
Kuingiza pua vitani wameshindwa wanaishia kuongea ujinga
Biden is a weak a$$ old man
Kama wameshindwa Iran wataiwezaje Russia
Oh,hata kiduku wamemshindwa!
America is a joke siku hizi
Ilikuwa giant miaka ya 60 huko
 
Huu ni mwaka wa maangamizi kwa Putini, hawa jamaa watamfilisi mpaka chupi, kumbe watoto wake kawaeka kwenye mifumo ya nchi?

Huyu dikteta ameingia mahali pabaya kuingia kwenye hii vita.,
 
USA ni wajinga Sana ase Putin kawaumbua kwa kuonesha ujinga wao
Ujinga wa US uko wapi mkuu, marekani sasaivi ndio wanaionyesha dunia kwamba wao waliitawala dunia muda mrefu sana, russia itabaki kama russia imekosa company jambo ambalo ni gumu kwa maisha ya kimaendeleo katika nchi., America amefanikiwa kwenye ushawishi bado ataendelea kutesa. Marekani alikuwa bussiy halali anatafuta namna ya kuikandamisha russia kiuchumi na kwa bahati mbaya russia haikulijua hilo wakaingia kwenye vita kichwa kichwa kule Ukraine sasa marekani wamepata namna wataisulubu sana russia
 
Wewe ni Pro US kutoka Sambulachole unaetambua kila kitu anachofanya US dhidi ya Urusi ukiwa hukohuko Sambulachole na kwamba Urusi anaemiliki silaha kubwa na madhubuti zikisemwa kwamba za pili kwa ubora na wakimiliki One of the world best intelligence agencies hadi watu wa usalama wa hapa nchini kwako waliofanikiwa kusoma urusi ndiyo top layer ktk taasisi ya usalama hapa nchini lakini bado urusi asijiue chochote ila wewe wa kijijini Yafuduche unajua! Kiukweli umepotoka na inaonekana bado una fikra mgando kwamba urusi ni kama Lesotho narudia tena umepotea.
 
Hiyo theory uliyonayo kuhusu urusi ndiyo iliyokuwa imetawala katika masikio ya watu wengi ulimwengu kwamba urusi ipo katika kiwango hicho ulichojaribu kufafanua, lakini hulaumiki hata hao Western waliamini hivyo hivyo lakini hawakuwa na details za kutosha sana, Lakini hii vita aliyovamia Ukraine ndio amethibitisha yeye mwenyewe udhaifu wa Russia katika mambo mengi sana, na Marekani wanajuta kuitambulisha dunia kwamba Russia ni nchi hatari wakiamua kuingia kwenye vita ukitoa Marekani yenyewe.

Technologia walifeli kutoboa baada ya Ukraine kufunga anga zao, ndege hazina idadi ya russia zilidondoshwa, silaha walizokuwa wanatumia ni za zamani sana, hazikuwa na shabaha kitaalamu, lakini pia imegundulika urusi ni wabovu sana kwa vita ya ground, Kyiv ilichukua zaidi ya siku 30 na pia walifeli kumtoa Zelensky na kuweka wakala wao, hatimae walirudi nyuma kwa kupoteza wanajeshi wengi sana maisha yao, leo hii Ukraine imetapakaa vifaru vya Russia vilivyochakazwa ni Stinger na Javeline zilizotoka US, angalia televisheni muda wote wanaoonyesha.

Kama russia ana udhibiti na technologia katika anga lake juzi ghala lake la kuhifadhia mafuta karibu na mpaka wa ukraine ambalo walikuwa wanatumia kwa kuweka mafuta vifaa na magari yao kuendeleza vita Ukraine kiliripuliwa kwa helkopta kuonyesha Russia haiko salama, putini ni mdomo tu kwisha habar yake

Silaha ambazo hadi sasa Putini hajatumia ni nuclear na hizo chemical tu othewise hana silaha za maana sana, lakini huko Donbas alikokimbilia Ukrean wanajiandaa na wako kwenye mapigano,

Kwa taifa tulilokuwa tunalisikia na kuamini kama unavyoliamini wewe hapo ukiwa hapo gongolamboto kwa sababu ndugu zako wameenda kusomea urusi technically wamefeli sana na hawako hivyo uonavyo na kusikia., Ukraine haikutajika kwenye vita lakini leo imeishangaza dunia kwa Russia kushindwa kusimamisha wakala wao Kyiv na hata wangepewa miezi miwili zaidi., tulichoshuhudia ni mauaji ya raia tu na udhalilishaji na kuangusha magorofa, hospitali, vyuo vikuu ambavo walikuwa wanapiga mabomu bila ya mpango wakiwa mbali sana
 
Hivi ulisoma alichosema Putin wakati anaingia vitani? Ktk vitu alivitaja hakusema kuwa anataka kuweka rais mpya wa Ukraine bali alisema Denazifacation na Demilitarisation of Ukraine nakuina unafanana na mchekeshaji Zelensky anatangaza kuwa amechakaza wanajeshi wa urusi na vifaa vyao lakini wakati huohuo anaiomba US/NATO msaada wa kijeshi mara utasikia akisema kuwa vikwazo havijaonesha kumzuia putin kuishambulia ukraine wakati mwingine huyohuyo Zelensky utamsikia akisema urusi haina huruma.

But all in all Putin amesema alichohitaji Ukrain kafanikiwa pia wewe umeona vifaru vya Mrusi na ndege vita za urusi zikiwa zimechakazwa na javenin ina maana havikufanya kazi ? Hiyo miji na miundombinu iliyochakaa ktk miji mbalimbali ni Ukrain waliibomoa yenyewe? Kwa taarifa yako urusi anaweza piganana na yeyote hapa duniani na level au viwango vya silaha tumika itategemeya anapigana na nani au ulitaka uone Strategic bombers like Tupolev au fighter gets like SU35? Mrusi katumia silaha kulingana na mpinzani na huyo anaeamini ana silaha kubwa na advanced aende huko urusi halafu uone kama atarudi na marinda
 
Ujinga wao upo wapi sasa?

yaani wewe upo tandale unadiriki kusema wamarekani wajinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe shauri kwanza hapo kijijini upate maji,umeme nk
Achana na huo unaoita ujinga wa Marekani
Warussi wa tandale wamegeuka kuwa vichekesho sana Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi ulisoma alichosema Putin wakati anaingia vitani? Ktk vitu alivitaja hakusema kuwa anataka kuweka rais mpya wa Ukraine bali alisema Denazifacation na Demilitarisation of Ukraine nakuina unafanana na mchekeshaji Zelensky anatangaza kuwa amechakaza wanajeshi wa urusi na vifaa vyao lakini wakati huohuo anaiomba US/NATO msaada wa kijeshi mara utasikia akisema kuwa vikwazo havijaonesha kumzuia putin kuishambulia ukraine wakati mwingine huyohuyo Zelensky utamsikia akisema urusi haina huruma.

But all in all Putin amesema alichohitaji Ukrain kafanikiwa pia wewe umeona vifaru vya Mrusi na ndege vita za urusi zikiwa zimechakazwa na javenin ina maana havikufanya kazi ? Hiyo miji na miundombinu iliyochakaa ktk miji mbalimbali ni Ukrain waliibomoa yenyewe? Kwa taarifa yako urusi anaweza piganana na yeyote hapa duniani na level au viwango vya silaha tumika itategemeya anapigana na nani au ulitaka uone Strategic bombers like Tupolev au fighter gets like SU35? Mrusi katumia silaha kulingana na mpinzani na huyo anaeamini ana silaha kubwa na advanced aende huko urusi halafu uone kama atarudi na marinda
Mkuu hoja za putini zilikuwa wazi sana, alitaka NATO washindwe kuweka base yao Ukraine kwamba Ukrean iwe na msimamo neutral usioegemea upande wowote na kwamba isijiunge na umoja wa Ulaya kwa vile itahatarisha yeye kuwa karibu na aduie yake Marekani ambaye siku zote ndiye anayemuogopa.

Lakini nikuambie Zelensky amejaza fomu za kuomba kujiunga na EU vita/operation ikiwa katikati inaendelea ingawa majibu yake yatachukua muda kidogo kutokna na taratibu za umoja huo wa ulaya., Kuhusu NATO Zelensky amesema atahitaji kufanya referendum na watu wake Ukraine, wengi wakiunga mkono kujiunga na NATO wala hakuna mtu anayeitwa putini kumzuia maana katika hili lazima ufahamu hakuna hata nukta moja Zelensky atatii matakwa ya dikteta putini.

Zelensky ndio anaomba msaada wa silaha ili kumshambulia dikteta putini na bado hajasita kwa hilo hadi sasa masilaha yanamiminika kwa ajili ya Donbas kumbuka kwamba Putini alisema yoyote atakayejitokeza kumsaidia Putini atamfanyika kitu kibaya zaidi, lakini hapa unapitikana udhaifu mwengine wa Putini kwamba yeye anaongea kwa mdomo tu hana ubavu, tayari manchi kibao ya ulaya inasaidia kwa hali zote Ukrean.

Kama kuangusha majengo na kuvunja miundombinu ya ndio kushinda vita mimi ndio kwanza nasikia kwako ushindi huo wakati dola ya Ukraine bado iko pale pale, mrusi silaha alizotumia ni old model zimemrudisha nyuma mwenyewe baada majeshi yake mengi kuuliwa na labda akajipange upya, narudia tena bado sijaiyona Russia niliyokuwa naisikia kabla kwa majigambo mara ana hichi sijuwi ana kile, ni vile tunaichukia Marekani tu lakini Urusi bado sana kwa vita.

Kumbuka pia Urusi iliyataka majeshi ya Ukraine waeke silaha chini Ukraine wakakataa mbona hatukuona adhabu iliyotoka urusi kwa ukraine kukataa kwao kuweka sialaha chini badala yake tumeona wanarudi kushikilia Donbas? Putini amepumbaza akili za watu wengi dunia
 
Huu ni mwaka wa maangamizi kwa Putini, hawa jamaa watamfilisi mpaka chupi, kumbe watoto wake kawaeka kwenye mifumo ya nchi?

Huyu dikteta ameingia mahali pabaya kuingia kwenye hii vita.,
Heheh we jamaa ulitakiwa ume muhubiri anzisha tu kakanisa kako upate kondoo wa kuwazuga
 
Back
Top Bottom