Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Urusi vyawalenga watoto wa Rais Putin

Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Urusi vyawalenga watoto wa Rais Putin

Kuingiza pua vitani wameshindwa wanaishia kuongea ujinga
Biden is a weak a$$ old man
Kama wameshindwa Iran wataiwezaje Russia
Oh,hata kiduku wamemshindwa!
America is a joke siku hizi
Ilikuwa giant miaka ya 60 huko
Mpaka Sasa bado America ni giant.
 
Mkuu hoja za putini zilikuwa wazi sana, alitaka NATO washindwe kuweka base yao Ukraine kwamba Ukrean iwe na msimamo neutral usioegemea upande wowote na kwamba isijiunge na umoja wa Ulaya kwa vile itahatarisha yeye kuwa karibu na aduie yake Marekani ambaye siku zote ndiye anayemuogopa.

Lakini nikuambie Zelensky amejaza fomu za kuomba kujiunga na EU vita/operation ikiwa katikati inaendelea ingawa majibu yake yatachukua muda kidogo kutokna na taratibu za umoja huo wa ulaya., Kuhusu NATO Zelensky amesema atahitaji kufanya referendum na watu wake Ukraine, wengi wakiunga mkono kujiunga na NATO wala hakuna mtu anayeitwa putini kumzuia maana katika hili lazima ufahamu hakuna hata nukta moja Zelensky atatii matakwa ya dikteta putini.

Zelensky ndio anaomba msaada wa silaha ili kumshambulia dikteta putini na bado hajasita kwa hilo hadi sasa masilaha yanamiminika kwa ajili ya Donbas kumbuka kwamba Putini alisema yoyote atakayejitokeza kumsaidia Putini atamfanyika kitu kibaya zaidi, lakini hapa unapitikana udhaifu mwengine wa Putini kwamba yeye anaongea kwa mdomo tu hana ubavu, tayari manchi kibao ya ulaya inasaidia kwa hali zote Ukrean.

Kama kuangusha majengo na kuvunja miundombinu ya ndio kushinda vita mimi ndio kwanza nasikia kwako ushindi huo wakati dola ya Ukraine bado iko pale pale, mrusi silaha alizotumia ni old model zimemrudisha nyuma mwenyewe baada majeshi yake mengi kuuliwa na labda akajipange upya, narudia tena bado sijaiyona Russia niliyokuwa naisikia kabla kwa majigambo mara ana hichi sijuwi ana kile, ni vile tunaichukia Marekani tu lakini Urusi bado sana kwa vita.

Kumbuka pia Urusi iliyataka majeshi ya Ukraine waeke silaha chini Ukraine wakakataa mbona hatukuona adhabu iliyotoka urusi kwa ukraine kukataa kwao kuweka sialaha chini badala yake tumeona wanarudi kushikilia Donbas? Putini amepumbaza akili za watu wengi dunia
Sasa we endelea kuamini kwamba urusi hana silaha ila hatutaki kelele mkifumuliwa huko tena mkae kimyaaa maana silaha ni old model hivi ktk uzoefu wako ktk kufuatilia vita mbalimbali hapa duniani ni wapi walipigana halafu majengo na miundombinu ikabaki bila kuguswa? Na je kuharibiwa kwa miundombinu huko Ukraine siyo pigo kwao?
 
Kwa msingi huo tuseme Putini katika hiyo anayoiita operation huko Ukraine malengo yake ilikuwa ni kuangusha majengo marefu tu labda na kuua raia kinyama???

Kama hilo ndo ilikuwa nia yake kwa kuivamia Ukraine kijeshi basi tuseme amefanikiwa lakini kama alikuwa na malengo mengine tofauti na kuangusha hayo majengo lazima ukiri kwamba amefeli kuliko kufeli
 
Kuingiza pua vitani wameshindwa wanaishia kuongea ujinga
Biden is a weak a$$ old man
Kama wameshindwa Iran wataiwezaje Russia
Oh,hata kiduku wamemshindwa!
America is a joke siku hizi
Ilikuwa giant miaka ya 60 huko
vipi mkuu bado usa hajaingia vitani ukraine?
 
Basi sawa.

Bunge la marekani limetoa $ bil 33 kuisaidia ukraine(tegemeeni mazito)

Pia mwez wa sita litatoa $bil 80 kuijenga ukraine 2023 to 2024

Pia limepitisha sheria iliyokuwa ikitumika vita ya pili ya dunia, kwamba makampuni binafsi ya silaha yapeleke mzigo ukraine bila idhini ya bunge wala serekali. Kukodisha,kuuza,kukopesha. Kugawa bure

Sheria nyingine matrilion fisad putin alizoficha nje zataifishwa, na zawafanya biashara zote na mali. Zitapgwa mnada kuijenga ukraine.

Nadhan ukiambiwa usa ni zaid ya taifa unatakiwa uelewe.
 
Ujinga wa US uko wapi mkuu, marekani sasaivi ndio wanaionyesha dunia kwamba wao waliitawala dunia muda mrefu sana, russia itabaki kama russia imekosa company jambo ambalo ni gumu kwa maisha ya kimaendeleo katika nchi., America amefanikiwa kwenye ushawishi bado ataendelea kutesa. Marekani alikuwa bussiy halali anatafuta namna ya kuikandamisha russia kiuchumi na kwa bahati mbaya russia haikulijua hilo wakaingia kwenye vita kichwa kichwa kule Ukraine sasa marekani wamepata namna wataisulubu sana russia
Mkuu jiandae kupata magonjwa nyemelezi si kwa nyongo hiyo loh 😂😂😂‼️
 
Basi sawa.

Bunge la marekani limetoa $ bil 33 kuisaidia ukraine(tegemeeni mazito)

Pia mwez wa sita litatoa $bil 80 kuijenga ukraine 2023 to 2024

Pia limepitisha sheria iliyokuwa ikitumika vita ya pili ya dunia, kwamba makampuni binafsi ya silaha yapeleke mzigo ukraine bila idhini ya bunge wala serekali. Kukodisha,kuuza,kukopesha. Kugawa bure

Sheria nyingine matrilion fisad putin alizoficha nje zataifishwa, na zawafanya biashara zote na mali. Zitapgwa mnada kuijenga ukraine.

Nadhan ukiambiwa usa ni zaid ya taifa unatakiwa uelewe.
Marekani haijapeleka wanajeshi Ukraine kama inavyopelekaga Afghanistan,Iraq,Vietnam,Somalia,Kuwait,Syria,Libya..
Jiulize kwanini wanaogopa face to face battle with Russia.
 
Back
Top Bottom