Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Urusi vyawalenga watoto wa Rais Putin

Kabisa uwe kama hawa wakina mwamposa kabisa maana una quality zote
I am a muslim, sitaki ichi unachoendelea
kama tumemaliza hoja kwenye Ukraine tusimamie hapa. Thank you
 
Kuingiza pua vitani wameshindwa wanaishia kuongea ujinga
Biden is a weak a$$ old man
Kama wameshindwa Iran wataiwezaje Russia
Oh,hata kiduku wamemshindwa!
America is a joke siku hizi
Ilikuwa giant miaka ya 60 huko
Mpaka Sasa bado America ni giant.
 
Sasa we endelea kuamini kwamba urusi hana silaha ila hatutaki kelele mkifumuliwa huko tena mkae kimyaaa maana silaha ni old model hivi ktk uzoefu wako ktk kufuatilia vita mbalimbali hapa duniani ni wapi walipigana halafu majengo na miundombinu ikabaki bila kuguswa? Na je kuharibiwa kwa miundombinu huko Ukraine siyo pigo kwao?
 
Kwa msingi huo tuseme Putini katika hiyo anayoiita operation huko Ukraine malengo yake ilikuwa ni kuangusha majengo marefu tu labda na kuua raia kinyama???

Kama hilo ndo ilikuwa nia yake kwa kuivamia Ukraine kijeshi basi tuseme amefanikiwa lakini kama alikuwa na malengo mengine tofauti na kuangusha hayo majengo lazima ukiri kwamba amefeli kuliko kufeli
 
Kuingiza pua vitani wameshindwa wanaishia kuongea ujinga
Biden is a weak a$$ old man
Kama wameshindwa Iran wataiwezaje Russia
Oh,hata kiduku wamemshindwa!
America is a joke siku hizi
Ilikuwa giant miaka ya 60 huko
vipi mkuu bado usa hajaingia vitani ukraine?
 
Basi sawa.

Bunge la marekani limetoa $ bil 33 kuisaidia ukraine(tegemeeni mazito)

Pia mwez wa sita litatoa $bil 80 kuijenga ukraine 2023 to 2024

Pia limepitisha sheria iliyokuwa ikitumika vita ya pili ya dunia, kwamba makampuni binafsi ya silaha yapeleke mzigo ukraine bila idhini ya bunge wala serekali. Kukodisha,kuuza,kukopesha. Kugawa bure

Sheria nyingine matrilion fisad putin alizoficha nje zataifishwa, na zawafanya biashara zote na mali. Zitapgwa mnada kuijenga ukraine.


Nadhan ukiambiwa usa ni zaid ya taifa unatakiwa uelewe.
 
Mkuu jiandae kupata magonjwa nyemelezi si kwa nyongo hiyo loh ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚โ€ผ๏ธ
 
Marekani haijapeleka wanajeshi Ukraine kama inavyopelekaga Afghanistan,Iraq,Vietnam,Somalia,Kuwait,Syria,Libya..
Jiulize kwanini wanaogopa face to face battle with Russia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ