Vikwazo vya EU vyakwamisha ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi nchini Serbia

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Wizara ya Mambo ya Nje nchini humo, imethibitisha kuahirishwa kwa ziara ya Waziri Sergei Lavrov nchini Serbia kwa sababu ya majirani watatu wa Serbia (Bulgaria, Macedonia na Montenegro) kuzuia ndege yake kutumia anga yao.

Serbia inadaiwa bado kuwa na mahusiano mazuri na Urusi licha ya nchi nyingi za EU kuiwekea nchi hiyo vikwazo, kutokana na uvamizi wake wa Mwezi Februari nchini Ukraine.

.................................

EU member Bulgaria imposed the flight ban, along with North Macedonia and Montenegro - countries hoping, like Serbia, to join the EU.

Russia's foreign ministry confirmed the cancellation. Russia's invasion of Ukraine triggered an EU airspace ban.
Serbia remains friendly with Russia.

Serbia has not joined the EU's wide-ranging sanctions against Russia. The EU and UK imposed a blanket flight ban on Russian planes - including the private jets of oligarchs - days after the 24 February invasion.

Like many other European countries, Serbia relies heavily on Russian gas. Mr Lavrov was to have had talks in Belgrade with President Aleksandar Vucic on 6-7 June.

The Kremlin strongly backs Serbia's refusal to recognise Kosovo's independence. Russia was angered by the Nato bombing campaign against Serbia in 1999 during the Kosovo war.

Commenting on the Balkan move to bar Mr Lavrov's flight, a Russian foreign ministry source said "our diplomacy has yet to master teleportation".

In early March thousands of pro-Russian Serbs marched through Belgrade, reflecting the countries' traditionally close ties.

Source: BBC
 
... wanashindwa nini kurusha ndege chini kwa chini usawa mbao rada haziwezi kui-detect? Mbona IDF walifanya hivyo kipindi cha Operesheni Entebe? Toka Tel-Aviv hadi Entebe across more than 5 nations ndege ziko almost usawa wa bahari.
 
Wizara ya Mambo ya Nje nchini humo, imethibitisha kuahirishwa kwa ziara ya Waziri Sergei Lavrov nchini Serbia kwa sababu ya majirani watatu wa Serbia (Bulgaria, Macedonia na Montenegro) kuzuia ndege yake kutumia anga yao.

Serbia inadaiwa bado kuwa na mahusiano mazuri na Urusi licha ya nchi nyingi za EU kuiwekea nchi hiyo vikwazo, kutokana na uvamizi wake wa Mwezi Februari nchini Ukraine

.................................

EU member Bulgaria imposed the flight ban, along with North Macedonia and Montenegro - countries hoping, like Serbia, to join the EU.

Russia's foreign ministry confirmed the cancellation. Russia's invasion of Ukraine triggered an EU airspace ban.
Serbia remains friendly with Russia.

Serbia has not joined the EU's wide-ranging sanctions against Russia. The EU and UK imposed a blanket flight ban on Russian planes - including the private jets of oligarchs - days after the 24 February invasion.

Like many other European countries, Serbia relies heavily on Russian gas. Mr Lavrov was to have had talks in Belgrade with President Aleksandar Vucic on 6-7 June.

The Kremlin strongly backs Serbia's refusal to recognise Kosovo's independence. Russia was angered by the Nato bombing campaign against Serbia in 1999 during the Kosovo war.

Commenting on the Balkan move to bar Mr Lavrov's flight, a Russian foreign ministry source said "our diplomacy has yet to master teleportation".

In early March thousands of pro-Russian Serbs marched through Belgrade, reflecting the countries' traditionally close ties.

Source: BBC
[emoji2][emoji2][emoji2] sunctions Ni hatari, waambie warusi wamrushe na Roketi huyo waziri Hadi serbia
 
... wanashindwa nini kurusha ndege chini kwa chini usawa mbao rada haziwezi kui-detect? Mbona IDF walifanya hivyo kipindi cha Operesheni Entebe? Toka Tel-Aviv hadi Entebe across more than 5 nations ndege ziko almost usawa wa bahari.
Una uhakika?
 
Ndege iliyokuwa imembeba waziri wa mambo ya nje wa Urusi bwana

Sergey Lavrov imezuiwa kupita juu ya anga ya nchi za Bulgaria,Montenegro & republic of north Macedonia kwa sababu za vita vya kichokozi vilivyoanzishwa na Urusi huko Ukraine

Ndege hiyo iliyokuwa imembeba waziri huyo kipenzi cha mbabe Putin ilikuwa safarini kuelekea nchini Serbia

Mpaka sasa waziri huyo amekwisha toa tamko la kulaani kitendo hicho cha kisichana kilichofanywa na vijiinchi hivyo vitatu na amesema kuwa vitendo hivyo vya kishamba na vingine vinavyofanana na hivyo havitawazuia wanadiplomasia wa Urusi kuzitembelea nchi rafiki
 
Ndege iliyokuwa imembeba waziri wa mambo ya nje wa Urusi bwana
Sergey Lavrov imezuiwa kupita juu ya anga ya nchi za Bulgaria,Montenegro & republic of north Macedonia kwa sababu za vita vya kichokozi vilivyoanzishwa na Urusi huko Ukraine

Ndege hiyo iliyokuwa imembeba waziri huyo kipenzi cha mbabe Putin ilikuwa safarini kuelekea nchini Serbia

Mpaka sasa waziri huyo amekwisha toa tamko la kulaani kitendo hicho cha kisichana kilichofanywa na vijiinchi hivyo vitatu na amesema kuwa vitendo vya hivyo vya kishamba na vingine vinavyofanana na hivyo havitawazuia wanadiplomasia wa Urusi kuzitembelea nchi rafiki
Sasa,kama ni vitendo vya "kischana" ashuke kwenye ardhi za watu akajisaidie haja ndogo.Teh!
 
Ndege iliyokuwa imembeba waziri wa mambo ya nje wa Urusi bwana
Sergey Lavrov imezuiwa kupita juu ya anga ya nchi za Bulgaria,Montenegro & republic of north Macedonia kwa sababu za vita vya kichokozi vilivyoanzishwa na Urusi huko Ukraine

Ndege hiyo iliyokuwa imembeba waziri huyo kipenzi cha mbabe Putin ilikuwa safarini kuelekea nchini Serbia

Mpaka sasa waziri huyo amekwisha toa tamko la kulaani kitendo hicho cha kisichana kilichofanywa na vijiinchi hivyo vitatu na amesema kuwa vitendo vya hivyo vya kishamba na vingine vinavyofanana na hivyo havitawazuia wanadiplomasia wa Urusi kuzitembelea nchi rafiki
Kwani ni lazima apitie hapo tu!

Mkuu ungejazia uzi na ramani alipo yeye hivi sasa, alikofungiwa kupita na alikotaka kwenda uzi ungenoga zaidi
 
... wanashindwa nini kurusha ndege chini kwa chini usawa mbao rada haziwezi kui-detect? Mbona IDF walifanya hivyo kipindi cha Operesheni Entebe? Toka Tel-Aviv hadi Entebe across more than 5 nations ndege ziko almost usawa wa bahari.
Hiyo ilikuwa zamani ambapo sky scrappers hazikuwa nyingi kama leo. Na pia Israel iliweza sababu ilitumia muda mwingi nile river.

Akafikia Kenya
 
... wanashindwa nini kurusha ndege chini kwa chini usawa mbao rada haziwezi kui-detect? Mbona IDF walifanya hivyo kipindi cha Operesheni Entebe? Toka Tel-Aviv hadi Entebe across more than 5 nations ndege ziko almost usawa wa bahari.
Acha chai mkuu. Karibu na usawa wa bahari unaujua kweli?
 
Back
Top Bottom