4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
hahahahaaaaSasa,kama ni vitendo vya "kischana" ashuke kwenye ardhi za watu akajisaidie haja ndogo.Teh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaaaaSasa,kama ni vitendo vya "kischana" ashuke kwenye ardhi za watu akajisaidie haja ndogo.Teh!
Hata akishuka akanya hakuna venye watafanya unamtishia muda wakati nchi yako kama mkoa wa tabora kiasi kwamba likitumwa kombora moja lazima walichakachue ili lisiumize wew na jirani yakoSasa,kama ni vitendo vya "kischana" ashuke kwenye ardhi za watu akajisaidie haja ndogo.Teh!
Haya Mataifa bhana (Urusi na Serbia) wanachekesha Sana. Hivi Kama ndege ya Urusi imezuiwa kupita kwenye Anga la Macedonia,Montenegro wamezuia ndege kupita kwenye Anga lao,je,Hilo Deal la Gesi ambalo Urusi na Serbia wamesaini,hiyo Gesi itapita wapi?Wizara ya Mambo ya Nje nchini humo, imethibitisha kuahirishwa kwa ziara ya Waziri Sergei Lavrov nchini Serbia kwa sababu ya majirani watatu wa Serbia (Bulgaria, Macedonia na Montenegro) kuzuia ndege yake kutumia anga yao.
Serbia inadaiwa bado kuwa na mahusiano mazuri na Urusi licha ya nchi nyingi za EU kuiwekea nchi hiyo vikwazo, kutokana na uvamizi wake wa Mwezi Februari nchini Ukraine.
.................................
EU member Bulgaria imposed the flight ban, along with North Macedonia and Montenegro - countries hoping, like Serbia, to join the EU.
Russia's foreign ministry confirmed the cancellation. Russia's invasion of Ukraine triggered an EU airspace ban.
Serbia remains friendly with Russia.
Serbia has not joined the EU's wide-ranging sanctions against Russia. The EU and UK imposed a blanket flight ban on Russian planes - including the private jets of oligarchs - days after the 24 February invasion.
Like many other European countries, Serbia relies heavily on Russian gas. Mr Lavrov was to have had talks in Belgrade with President Aleksandar Vucic on 6-7 June.
The Kremlin strongly backs Serbia's refusal to recognise Kosovo's independence. Russia was angered by the Nato bombing campaign against Serbia in 1999 during the Kosovo war.
Commenting on the Balkan move to bar Mr Lavrov's flight, a Russian foreign ministry source said "our diplomacy has yet to master teleportation".
In early March thousands of pro-Russian Serbs marched through Belgrade, reflecting the countries' traditionally close ties.
Source: BBC
Hakutakiwa kutoa vijineno kama kimwanamke cha uswahilini.Angeshuka.Hata akishuka akanya hakuna venye watafanya unamtishia muda wakati nchi yako kama mkoa wa tabora kiasi kwamba likitumwa kombora moja lazima walichakachue ili lisiumize wew na jirani yako
Hicho Kiswahili cha kikonongo kule Kwihala sijakielewa.Andika vizuri.Hata akishuka akanya hakuna venye watafanya unamtishia muda wakati nchi yako kama mkoa wa tabora kiasi kwamba likitumwa kombora moja lazima walichakachue ili lisiumize wew na jirani yako
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] itatumwa kwa IriziHaya Mataifa bhana (Urusi na Serbia) wanachekesha Sana. Hivi Kama ndege ya Urusi imezuiwa kupita kwenye Anga la Macedonia,Montenegro wamezuia ndege kupita kwenye Anga lao,je,Hilo Deal la Gesi ambalo Urusi na Serbia wamesaini,hiyo Gesi itapita wapi?
No thank you! Route hiyo hapo;Hiyo ilikuwa zamani ambapo sky scrappers hazikuwa nyingi kama leo. Na pia Israel iliweza sababu ilitumia muda mwingi nile river.
Akafikia Kenya
... unapopinga hoja ni bora ukaja facts za kufanya hivyo. Nimetumia neno "almost" usawa wa bahari; 30m siko mbali na ukweli. Soma hiyo.Acha chai mkuu. Karibu na usawa wa bahari unaujua kweli?