Vikwazo vya EU vyakwamisha ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi nchini Serbia

Sasa,kama ni vitendo vya "kischana" ashuke kwenye ardhi za watu akajisaidie haja ndogo.Teh!
Hata akishuka akanya hakuna venye watafanya unamtishia muda wakati nchi yako kama mkoa wa tabora kiasi kwamba likitumwa kombora moja lazima walichakachue ili lisiumize wew na jirani yako
 
Haya Mataifa bhana (Urusi na Serbia) wanachekesha Sana. Hivi Kama ndege ya Urusi imezuiwa kupita kwenye Anga la Macedonia,Montenegro wamezuia ndege kupita kwenye Anga lao,je,Hilo Deal la Gesi ambalo Urusi na Serbia wamesaini,hiyo Gesi itapita wapi?
 
Hicho Kiswahili cha kikonongo kule Kwihala sijakielewa.Andika vizuri.
 
Haya Mataifa bhana (Urusi na Serbia) wanachekesha Sana. Hivi Kama ndege ya Urusi imezuiwa kupita kwenye Anga la Macedonia,Montenegro wamezuia ndege kupita kwenye Anga lao,je,Hilo Deal la Gesi ambalo Urusi na Serbia wamesaini,hiyo Gesi itapita wapi?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] itatumwa kwa Irizi
 
Hiyo ilikuwa zamani ambapo sky scrappers hazikuwa nyingi kama leo. Na pia Israel iliweza sababu ilitumia muda mwingi nile river.

Akafikia Kenya
No thank you! Route hiyo hapo;

Attack route​

The task force's route flew over Sharm al-Sheikh and down the international flight path over the Red Sea, mostly flying at a height of no more than 30 m (100 ft) to avoid radar detection by Egyptian, Sudanese, and Saudi Arabian forces. Near the south outlet of the Red Sea the C-130s turned south and passed south of Djibouti. From there, they went to a point northeast of Nairobi, Kenya, likely across Somalia and the Ogaden area of Ethiopia. They turned west, passing through the African Rift Valley and over Lake Victoria.
 
Acha chai mkuu. Karibu na usawa wa bahari unaujua kweli?
... unapopinga hoja ni bora ukaja facts za kufanya hivyo. Nimetumia neno "almost" usawa wa bahari; 30m siko mbali na ukweli. Soma hiyo.

Attack route​

The task force's route flew over Sharm al-Sheikh and down the international flight path over the Red Sea, mostly flying at a height of no more than 30 m (100 ft) to avoid radar detection by Egyptian, Sudanese, and Saudi Arabian forces. Near the south outlet of the Red Sea the C-130s turned south and passed south of Djibouti. From there, they went to a point northeast of Nairobi, Kenya, likely across Somalia and the Ogaden area of Ethiopia. They turned west, passing through the African Rift Valley and over Lake Victoria.
 
Oyaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wamebaki kushangilia vikwazo hawa [emoji1787], kule uwanja wa mapambano wamechezea kichapo wamekimbia [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…