usihofu mkuu,marekani kakumbuka shuka wakati kumekucha,mchina ameshakuwa mjanja tayari,tofauti na miaka ile,,huawei itayumba kwa muda,lakini haitakufa..
Kwa dunia ya sasa marekani ni ngumu yeye peke yake kutawala masoko makubwa yote,,kwenye silaha za kivita anapata upinzani kwa urusi,technolojia licha ya mchina nchi nyingi zimepiga hatua sana,,ndege za abiria kuna AIR BUS ,kwa dunia ya sasa anachofanya USA,,ni kwamba anawafanya adui zake wabuni njia mbadala,sasa hivi kuna nchi zinafikiria kuachana na matumizi ya us dollar,OS za computer hawatumii windows,RUSSIA ana internet yake kama backup iwapi ulaya/usa watamzingua..