Vikwazo vya Marekani: Huawei yatangaza kuacha kutengeneza simu za viwango vya juu, flagship phones

Kuyaua makampuni ya nchi namba 2 kwa uchumi duniani ni kazi sana inaweza ikakuathiri wewe pia
Na ndio hicho kinaenda kutokea
Maana yaani na hayo makampuni lazima yafunge hizo factory maana soko kunakuwa hamna
 
Machina siyo miwatu ya kuchukuliwa poa, USA adhibu hao mbwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…