Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,843
- 31,057
Hivi maisha gani yamekuwa mazuri?Mkuu mabeberu wanatuonea wivu kwa amani yetu na maendeleo makubwa tulioyapata kwa muda wa miaka mitano
Sasa Hivi tupo Uchumi wa kati na maisha ya Watanzania kwa sasa ni mazuri mnoo kuanzia Wafanyabiashara. Wafanyakazi hata Wakulima
Lazima wachukie
Hivi kufunga fremu za bishara kibao huko Kariakoo ndiyo unayaita, mafanikio ya utawala huu wa awamu ya tano?
Ama kweli kama alivyoongea Jiwe, anataka matajiri waishi kama mashetani!