Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kwanza wanaanza na hao NECMajina ya waliowekewa vikwazo yako wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza wanaanza na hao NECMajina ya waliowekewa vikwazo yako wapi?
Sasa Pompeo China akafuate nini?yaani Tanzania mnajilinganisha na China au Amerika?Pompeo mwenyewe kawekewa vikwazo haruhusiwi kukanyaga China na Hongkong.
Wanaungana na Bashite kuwa kifungoniWakaombe viza majibu watayapata...nani yumo na nani hayumo.
Utasubiri sanaHadi Freeman yumo!
Atasubiri Pompeo!Utasubiri sana
Kuwa anayeona tz hapafai kuish atoke tuu atuachie Nchi yetu, mbona wenzao wameondoka wametuacha tunaisongesha mbele tz yetuUlikusudia kuandika nini my friend?
Kwan unahis wanatoa bure, tutanunua man, lazma wauze ili na wao waishiHzo ndege zinatoka wap we nguchiro????
Kuna ulazima wa kwenda Kwao?Viongozi wote wakuu, Raisi, makamu, waziri mkuu, IGP, mkuu wa majeshi, mwenyekiti wa tume ya uchaguzi,na wote waliosimamia uchaguzi kwa kofia ya tume, Spika, naibu Spika, Hawa wote hawastahili kupata visa ya kwenda, USA, UK, canada, Wapewe na vikwazo vya kiuchumi.
Mkuu uongo nikitaka kwenda China atanizuia?Haya matoto bwana
Yanajiongelesha ongelesha kama mavichaa
Eti "hawajasema wanachokilalamikia"....etc etc
Wacha wajifanye kutokuelewa,wataelewa vizuri
Na atokee kiazi mwingine aongee mbovu kuhusu USA tena,wataona new SEC of State atanyanyua ban to higher state ya "Kuvunja Haki za Binadamu"
Sasa hivi wameachwa kwenye "Kuvuruga Uchaguzi Mkuu".
Sasa watokee vibaraka wa serikali watoe matamko ya kipumbavu kuidharau USA waone next step!
Maana hii aliitoa Pompeo pale tu jiwe alipotoa maneno mabovu kwa US mbele ya balozi wa UK alipokua anafungua shule ya Ihungo....
Baada ya matamko yale tu,in an hour or so,Pompeo ka-launch ana arsenal,uzuri hajataja watu,bado list ni confidential
Siku kapumbavu kama sijui Ole Sabaya kanaenda kuomba visa popote,kanapigwa decline ndio mtajua whats up!
Na hii sio kwa hivi vijiongozi mavi mavi tu,hadi familia zao,any binadamu related to these monkeys!
Na uzuri wa Ban ya USA ni worldwide,sio eti kwenda USA pekee yake,mzee ni worldwide hata kwenda hapo Kenya....
Now you get the fvcking picture how dangerous this is!
Kwani wao wamekataa, nadhani tunaweza kuwawekea vikwazo tu.Chanzo mkuu umesahau!
Halafu nawao tuwape vikwazo haiwezekani uchaguzi wao nao ukawa wa fujo kiasi kwamba mpaka Watu wakapoteza Maisha.
Au kunya anye kukutu akinya bata kaharisha!
Safi sana kiongoziYaani mkuu Ukitaka kuishi kama sultani kwenye awamu ya huyu Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
LA sivyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
Kama ulikuwa na biashara fake lazima uifunge kwani hakuna tena mianya ya upigaji.Hivi maisha gani yamekuwa mazuri?
Hivi kufunga fremu za bishara kibao huko Kariakoo ndiyo unayaita, mafanikio ya utawala huu wa awamu ya tano?
Ama kweli kama alivyoongea Jiwe, anataka matajiri waishi kama mashetani!
Hivi marekani yeye anafata haki za binadamu siyo!Naunga mkono hoja, vikwazo zaidi na viwekwe toka mataifa rafiki wa Marekani, UN na Umoja wa Ulaya, labda hawa watawala wetu wataacha jeuri ya kuvunja haki za binadamu
Alaf USAID mnapokea kwa mikono miwili,Nani anataka kwenda marekani?
Mabeberu wanatuonea wivu kwa sababu tupo Uchumi wa kati na RAIA WOTE wa Tanzania wanamaisha mazuri sana tofauti na zamani
Kiungwana mtu akikupa zawadi pokea asipokupa usimuulizeAlaf USAID mnapokea kwa mikono miwili,
Kama sio unafiki ni nini
YeaaaaaahMahela na Mtungi.....!!