Vikwazo vya Marekani: NEC yasema hatua za kisheria zifuatwe pale panapoonekana pana kasoro

Kwani ulisikia anataka sana kwenda huko Marekani? Kwanza kuna nini cha maana wakati almost 90% ya mahitaji yetu tunapata kutoka China na India.
Wewe bila shaka utakuwa Bw.Mahera au Bw.Kaijage manake si kwa mipasho hiyo."Sizitaki mbichi Hizi".🤣🤣🤣
 
Hzo ndege zinatoka wap we nguchiro????
Wazungu wanataka kututawala Ndio maana inawaima kusikia tupo Uchumi wa kati
Wakiona midege hewani wanajisikia vibaya
Na kwa sasa jinsi maisha yalivyokua bora kwa kila mtanzania lazima waumie
Yaani kuanzia Wafanyabiashara. Wafanyakazi hata Wakulima maisha ni bam bam
Shule bure kuanzia msingi mpaka secondary
Huduma za afya bure
Zahanati kila kona
Yaani Tanzania ya Magufuli neema tupu
 
Nimekuwa nikifuatilia majibu anayotoa judge Kaijage pindi anaposikia malalamiko kuhusu mwenendo wa uchaguzi uliofanyika mwaka jana.

Majibu aliyotoa wakati wapinzani walipolalamika na yale maelezo aliyotoa dhidi ya waziri wa Marekani baada ya kufungia maafisa waliohusika na uchaguzi yanafanana kwa maana kwamba wenye malalamiko wafuate utaratibu wa kisheria.

Kabla sijatoa maoni yangu juu ya majibu hayo ningemshauri judge Kaijage apitie ushauri au maoni ya judge Warioba aliyotoa kwenye kongamano la haki za binadamu jijini Dar. Umuhimu wa kuzingatia maoni hayo yanatokana na sifa zifuatazo alizonazo judge Warioba.
1) Judge Warioba ni mwanasheria kitaaluma aliyewahi kuwa judge mahakama ya Afrika mashariki na kuwa mwanasheria mkuu wa serikali awamu ya kwanza.

2) Judge Warioba ni mwanachama mwanzilishi wa CCM na kwa hiyo maoni yake yatakuwa ni ya kutaka kujenga yasipuuzwe

3) Pamoja na kuwahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali, judge Warioba ni waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais mstaafu aliyehudumu enzi ya uongozi wa awamu ya pili. Sifa hizi zinayapa maoni yake uzito wa pekee katika jamii.

Baada ya kutoa ushauri huu ningependa sasa nieleze kwa nini kwa maoni yangu walalamikaji wamekwama kufuata utaratibu wa kisheria kupata haki yao.

1)Kama alivyosema judge Warioba tofauti na chaguzi zilizotangulia idadi ya wagombea walioenguliwa mwaka huu ni kubwa na haijawahi kutokea. Utaratibu wa kisheria unasema walioenguliwa wakate rufaa kwa tume. Mimi nawajua wagombea kadhaa wa ubunge na udiwani ambao rufani zao hazikujibiwa na tume hadi leo. Kwa maana hiyo uchaguzi umefanyika bila ya mgombea kuambiwa uhalali wa kuenguliwa kwao na tume. Kwa muktadha huu utaratibu wa kisheria umesaidia nini katika kumpa mgombea haki yake.

2) Utaratibu wa kisheria muda wote mlalamikaji anatakiwa kutoa ushahidi wa malalamiko yake ili uamuzi wa haki utolewe. Mojawapo wa mashahidi muhimu kuhusu mwenendo wa uchaguzi ni mawakala. Pale mawakala wa wagombea wanapozuiwa au kuruhusiwa kwa kuchelewa kuingia vyumba vya uchaguzi ushahidi utapatikanaje. Haishangazi kwa hiyo kuona kwa uchaguzi wa mwaka jana kesi za uchaguzi ni chache sana kama zipo pamoja na matatizo yote yanayolalamikiwa. Wasimamizi wamefanya kazi nzuri sana ya kuvuruga uchaguzi na ushahidi.

Ushauri wangu kwa judge Kaijage ni kukubali ushauri na kurekebisha kasoro zilizojitokeza kabla mambo hayajaharibika.

Naomba kuwasilisha.
 
Kuna siku "waarimu" watatoa "siri" tu...subiri!
 
Nimekuwa nikifuatilia majibu anayotoa judge Kaijage pindi anaposikia malalamiko kuhusu mwenendo wa uchaguzi uliofanyika mwaka jana. Majibu aliyotoa wakati wapinzani walipolalamika na yale maelezo aliyotoa dhidi ya waziri wa marekani baada ya kufungia maafisa waliohusika na uchaguzi yanafanana kwa maana kwamba wenye malalamiko wafuate utaratibu wa kisheria. Kabla sijatoa maoni yangu juu ya majibu hayo ningemshauri judge Kaijage apitie ushauri au maoni ya judge Warioba aliyotoa kwenye kongamano la haki za binadamu jijini Dar. Umuhimu wa kuzingatia maoni hayo yanatokana na sifa zifuatazo alizo nazo judge Warioba.
1) Judge Warioba ni mwanasheria kitaaluma aliyewahi kuwa judge mahakama ya Africa mashariki na kuwa mwanasheria mkuu wa serikali awamu ya kwanza.
2) Judge Warioba ni mwanachama mwanzilishi wa CCM na kwa hiyo maoni yake yatakuwa ni ya kutaka kujenga yasipuuzwe
3) Pamoja na kuwahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali judge Warioba ni waziri mkuu na makamu wa kwanza wa rais mstaafu aliyehudumu enzi ya uongozi wa awamu ya pili. Sifa hizi zinayapa maoni yake uzito wa pekee katika jamii.
Baada ya kutoa ushauri huu ningependa sasa nieleze kwa nini kwa maoni yangu walalamikaji wamekwama kufuata utaratibu wa kisheria kupata haki yao.
1)Kama alivyosema judge Warioba tofauti na chaguzi zilizotangulia idadi ya wagombea walioenguliwa mwaka huu ni kubwa na haijawahi kutokea. Utaratibu wa kisheria unasema walioenguliwa wakate rufaa kwa tume. Mimi nawajua wagombea kadhaa wa ubunge na udiwani ambao rufani zao hazikujibiwa na tume hadi leo. Kwa maana hiyo uchaguzi umefanyika bila ya mgombea kuambiwa uhalali wa uenguliwa kwao na tume. Kwa muktadha huu utaratibu wa kisheria umesaidia nini katika kumpa mgombea haki yake.
2) Utaratibu wa kisheria muda wote mlalamikaji anatakiwa kutoa ushahidi wa malalamiko yake ili uamuzi wa haki utolewe. Mojawapo wa mashahidi muhimu kuhusu mwenendo wa uchaguzi ni mawakala. Pale mawakala wa wagombea wanapozuiwa au kuruhusiwa kwa kuchelewa kuingia vyumba vya uchaguzi ushahidi utapatikanaje. Haishangazi kwa hiyo kuona kwa uchaguzi wa mwaka jana kesi za uchaguzi ni chache sana kama zipo pamoja na matatizo yote yanayolalamikiwa. Wasimamizi wamefanya kazi nzuri sana ya kuvuruga uchaguzi na ushahidi. Ushauri wangu kwa judge Kaijage ni kukubali ushauri na kurekebisha kasoro zilizojitokeza kabla mambo hayajaharibika.
Naomba kuwasilisha.
Watendaji wa tume walisikika wakiwaambia wapinzani wasiwe na matokeo mifukoni. Kumbe ni wao watendaji waliokuwa na matokeo mifukoni.

Haishangazi hawa watu kuwa hivi. Ni kwa sababu ni jinsi gani tume inavyoundwa . Muundaji anapokuwa sehemu ya washindanaji, ni lazima kuwe na double standard kwa wateule. Hii ni kibinaadamu na ki masilahi.

Sheria zetu zinazounda tume ya uchaguzi (NEC) zina kasoro kubwa na zitaendelea kuleta malalamiko. Kwa sababu pia watawala wanafaidika na kasoro hizo , kama ilivyotokea 2020

Odhis *
 
Nimekuwa nikifuatilia majibu anayotoa judge Kaijage pindi anaposikia malalamiko kuhusu mwenendo wa uchaguzi uliofanyika mwaka jana. Majibu aliyotoa wakati wapinzani walipolalamika na yale maelezo aliyotoa dhidi ya waziri wa marekani baada ya kufungia maafisa waliohusika na uchaguzi yanafanana kwa maana kwamba wenye malalamiko wafuate utaratibu wa kisheria. Kabla sijatoa maoni yangu juu ya majibu hayo ningemshauri judge Kaijage apitie ushauri au maoni ya judge Warioba aliyotoa kwenye kongamano la haki za binadamu jijini Dar. Umuhimu wa kuzingatia maoni hayo yanatokana na sifa zifuatazo alizo nazo judge Warioba.
1) Judge Warioba ni mwanasheria kitaaluma aliyewahi kuwa judge mahakama ya Africa mashariki na kuwa mwanasheria mkuu wa serikali awamu ya kwanza.
2) Judge Warioba ni mwanachama mwanzilishi wa CCM na kwa hiyo maoni yake yatakuwa ni ya kutaka kujenga yasipuuzwe
3) Pamoja na kuwahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali judge Warioba ni waziri mkuu na makamu wa kwanza wa rais mstaafu aliyehudumu enzi ya uongozi wa awamu ya pili. Sifa hizi zinayapa maoni yake uzito wa pekee katika jamii.
Baada ya kutoa ushauri huu ningependa sasa nieleze kwa nini kwa maoni yangu walalamikaji wamekwama kufuata utaratibu wa kisheria kupata haki yao.
1)Kama alivyosema judge Warioba tofauti na chaguzi zilizotangulia idadi ya wagombea walioenguliwa mwaka huu ni kubwa na haijawahi kutokea. Utaratibu wa kisheria unasema walioenguliwa wakate rufaa kwa tume. Mimi nawajua wagombea kadhaa wa ubunge na udiwani ambao rufani zao hazikujibiwa na tume hadi leo. Kwa maana hiyo uchaguzi umefanyika bila ya mgombea kuambiwa uhalali wa uenguliwa kwao na tume. Kwa muktadha huu utaratibu wa kisheria umesaidia nini katika kumpa mgombea haki yake.
2) Utaratibu wa kisheria muda wote mlalamikaji anatakiwa kutoa ushahidi wa malalamiko yake ili uamuzi wa haki utolewe. Mojawapo wa mashahidi muhimu kuhusu mwenendo wa uchaguzi ni mawakala. Pale mawakala wa wagombea wanapozuiwa au kuruhusiwa kwa kuchelewa kuingia vyumba vya uchaguzi ushahidi utapatikanaje. Haishangazi kwa hiyo kuona kwa uchaguzi wa mwaka jana kesi za uchaguzi ni chache sana kama zipo pamoja na matatizo yote yanayolalamikiwa. Wasimamizi wamefanya kazi nzuri sana ya kuvuruga uchaguzi na ushahidi. Ushauri wangu kwa judge Kaijage ni kukubali ushauri na kurekebisha kasoro zilizojitokeza kabla mambo hayajaharibika.
Naomba kuwasilisha.
Hata akitaka kurekebisha dosari leo haina maana na yeye na timu yake wamechangia kufikisha taifa hapa tulipo leo, taifa, lisilozingatia utawala wa sheria, na hats mfumo wa sheria usio aminika tena na taifa linalokosa uwajibikaji kwa walio na waliojipa mamlaka. natamani asikose orodha ya isiisii na ile ya yai viza la yuesiai.
 
Mada nzuri na ikiendana na mchango mzuri wa mawazo itakuwa bora sana, hili tatizo la tume ya uchaguzi Tanzania kila mtu analijua na maadam for time being haliathiri chama dola status ago itaendelea, President Nyerere (rip)aliliona hili ikiwa ni pamoja na mapungufu ya katiba yetu alichokifanya alilizungumzia na kuliacha President Mandela(rip)aliliona hili na kulifanyia kazi means kuunda taasisi imara na kuifanya SA itawaliwe kikatiba(mahakama ya katiba ndio wanaotafsiri sheria na kutolea maamuzi kuhusu nchi)kwangu mimi President Madiba(rip) ni ICON na president Nyerere (rip) ni strong stateman.
 
Kwani ulisikia anataka sana kwenda huko Marekani? Kwanza kuna nini cha maana wakati almost 90% ya mahitaji yetu tunapata kutoka China na India.
Wewe bila utakuwa Bw.Mahera au Bw.Kaijage manake si kwa mipasho hiyo."Sizitaki mbichi Hizi".🤣🤣🤣
Endelea kucheka!
Tulifunga mikanda kipindi cha Nyerere tulipowekewa vikwazo .Hatupendi hayo mambo yajirudie tena sababu ya tamaa ya madaraka ya watu wachache.Ninyi mnaosigina demokrasia vikwazo viwahusu sio sisi!
 
Mada nzuri na ikiendana na mchango mzuri wa mawazo itakuwa bora sana,hili tatizo la tume ya uchaguzi Tanzania kila mtu analijua na maadam for time being haliathiri chama dola status ago itaendelea,President Nyerere (rip)aliliona hili ikiwa ni pamoja na mapungufu ya katiba yetu alichokifanya alilizungumzia na kuliacha President Mandela(rip)aliliona hili na kulifanyia kazi means kuunda taasisi imara na kuifanya SA itawaliwe kikatiba(mahakama ya katiba ndio wanaotafsiri sheria na kutolea maamuzi kuhusu nchi)kwangu mimi President Madiba(rip) ni ICON na president Nyerere (rip) ni strong stateman.
Nakubaliana na wewe. Kuna mambo mengi ambayo kama nyerere baada ya kuyabaini angeamua kuyarekebisha kabla ya kustaafu angetuachia nchi moja yenye kutawalika/kuongozwa vizuri. Mojawapo ni hili la katiba. Tundu Lissu amesikika akimnukuu Nyerere akisema kuwa katiba ya Tz Ina uwezo wa kutengeneza dictator. Cha ajabu ni kwamba pamoja na kutambua hilo hakuona umuhimu wa kurekebisha kasoro hiyo kabla ya kustaafu. Nyerere aliona na kuzumngumzia suala la haki ya mgombea binafsi lakini hakutaka kulisimamia hilo kwa nguvu. Matokeo yake leo waliosimamia kusiwepo na mgombea binafsi wanawaweka wabunge binafsi kwa kuvunja katiba.

Wabunge wa G55 walipotaka kuwepo na muundo wa serikali tatu kwa kuunda serikali ya Zanzibar Nyerere alisimama kuhakikisha hilo halitokei na alifanikiwa kulizima. Hiyo maana yake ni kwamba alijuwa na uwezo wa kuleta mabadiliko hata baada ya kustaafu

Kwa mtazamo wangu Nyerere mambo aliyoona au kuhisi yananufaisha chama chake hakutaka kuyasimamia na kuacha legacy nzuri bali yale aliyodhani yatavuruga msimamo wake hakuyaruhusu.
Sasa tumefika hapa. Nyerere hayupo tena wa kurekebisha mambo tufanyeje? Kwa mawazo yangu viongozi wastaafu wanayo nafasi na wajibu wa kuleta mageuzi hayo kwani hawana cha kupoteza bali kujenga kumbukumbu nzuri.
Pili wananchi kwa ujumla wetu hususan the elite yawapasa kuamka kudai hayo mageuzi. Viongozi waliopo madarakani hawataleta mabadiliko vinginevyo tukubali kuendelea na chaguzi hizi bandia na pengine hata kurudi mfumo wa chama kimoja.
 
Ubabe na uonevu uliotumika uchaguzi mkuu wa 2020, unakera na kuudhi mpaka kupitiliza. Watu wakichoshwa na huu uonevu, watajitafutia tu njia nyingine ya kudai haki zao.

Kila jambo lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.
 
Kaijage ni mhuni tu na hana uwezo wowote ule wa kurekebisha kasoro husika ambazo zimekuwa created makusudi ili kupora uchaguzi. Kinachotakiwa ni Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi.

Nimekuwa nikifuatilia majibu anayotoa judge Kaijage pindi anaposikia malalamiko kuhusu mwenendo wa uchaguzi uliofanyika mwaka jana. Majibu aliyotoa wakati wapinzani walipolalamika na yale maelezo aliyotoa dhidi ya waziri wa marekani baada ya kufungia maafisa waliohusika na uchaguzi yanafanana kwa maana kwamba wenye malalamiko wafuate utaratibu wa kisheria. Kabla sijatoa maoni yangu juu ya majibu hayo ningemshauri judge Kaijage apitie ushauri au maoni ya judge Warioba aliyotoa kwenye kongamano la haki za binadamu jijini Dar. Umuhimu wa kuzingatia maoni hayo yanatokana na sifa zifuatazo alizo nazo judge Warioba.

1) Judge Warioba ni mwanasheria kitaaluma aliyewahi kuwa judge mahakama ya Africa mashariki na kuwa mwanasheria mkuu wa serikali awamu ya kwanza.
2) Judge Warioba ni mwanachama mwanzilishi wa CCM na kwa hiyo maoni yake yatakuwa ni ya kutaka kujenga yasipuuzwe
3) Pamoja na kuwahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali judge Warioba ni waziri mkuu na makamu wa kwanza wa rais mstaafu aliyehudumu enzi ya uongozi wa awamu ya pili. Sifa hizi zinayapa maoni yake uzito wa pekee katika jamii.
Baada ya kutoa ushauri huu ningependa sasa nieleze kwa nini kwa maoni yangu walalamikaji wamekwama kufuata utaratibu wa kisheria kupata haki yao.
1)Kama alivyosema judge Warioba tofauti na chaguzi zilizotangulia idadi ya wagombea walioenguliwa mwaka huu ni kubwa na haijawahi kutokea. Utaratibu wa kisheria unasema walioenguliwa wakate rufaa kwa tume. Mimi nawajua wagombea kadhaa wa ubunge na udiwani ambao rufani zao hazikujibiwa na tume hadi leo. Kwa maana hiyo uchaguzi umefanyika bila ya mgombea kuambiwa uhalali wa uenguliwa kwao na tume. Kwa muktadha huu utaratibu wa kisheria umesaidia nini katika kumpa mgombea haki yake.
2) Utaratibu wa kisheria muda wote mlalamikaji anatakiwa kutoa ushahidi wa malalamiko yake ili uamuzi wa haki utolewe. Mojawapo wa mashahidi muhimu kuhusu mwenendo wa uchaguzi ni mawakala. Pale mawakala wa wagombea wanapozuiwa au kuruhusiwa kwa kuchelewa kuingia vyumba vya uchaguzi ushahidi utapatikanaje. Haishangazi kwa hiyo kuona kwa uchaguzi wa mwaka jana kesi za uchaguzi ni chache sana kama zipo pamoja na matatizo yote yanayolalamikiwa. Wasimamizi wamefanya kazi nzuri sana ya kuvuruga uchaguzi na ushahidi. Ushauri wangu kwa judge Kaijage ni kukubali ushauri na kurekebisha kasoro zilizojitokeza kabla mambo hayajaharibika.
Naomba kuwasilisha.
 
Mkuu

Acha ukichaa,unajitoa ufahamu tu

Financial decisions of your life and all human beings is done in New York and London..Ndio maana mnamtuma Palamagamba Kabudi aende huko ili TZ ijue inakula nini kesho na hela zinapita wapi

The headquarter of all international organizations is in Geneva,Switzerland,all worldly decisions and economic decisions are done there...Lazima kabudi aende huku kujua kimeamuliwa kipi kuhusu TZ

No decision for this world is done in Russia or Beijing or Iran

Stop this stupidity

If USA ikiamua iikate Tanzania out of Swift system then it is dead just like North Korea!

Acha kua na akili za mavi hivi

very sorry young lady, its time you get your facts right! nadhan tafuta tu mtu mwingine wa kubishana nae apo vijiweni, you can read more about this so called Edward snowden, and understand where he lives now and what happend to him! even whats worse huyo anaepiga ban watu na yeye kapigwa ban, sasa sjui hadi nchi yake itamfukuza maaana wote wapo g20
 
Back
Top Bottom