MAGALEMWA
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 6,413
- 4,885
Kushika mnashika nyinyi hadi mnashika usaha.Mnahangaika saana, dua zenu kila mara zinagonga mwamba sasa sijui mtashika wapi?
Hoja iliyopo ndiyo hiyo viza mtazisikia tu, na vipesa mlivyoweka popite ughaibuni vimeshapigwa pini.