sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Vipi JPM hakutajwa?Yeye na Trump wake waliibana China RAISI MPYA KAJA kasema atarudisha uhusiano wa marekani ulioharibiwa na Pompeo na kamtaja kwa jina kabisa kuwa ndie mharibufu mkubwa aliyeharibu uhusiano wa Marekani na mataifa mengine.Kwenye hotuba kamtaja kwa jina
Uhusiano wa Tanzania na marekani ulikuwa mzuri mno ndio maana maraisi kibao wa marekani walifurika hapa lilivyoingia li Pompeo likaharibu kabisa kutwa kutuponda twitter safari hii kakutana na kidume Biden Kamtaja kabisa kama mtu aliyeharibu mahusiano ya marekani na nchi zingine