Hivi maisha gani yamekuwa mazuri?Mkuu mabeberu wanatuonea wivu kwa amani yetu na maendeleo makubwa tulioyapata kwa muda wa miaka mitano
Sasa Hivi tupo Uchumi wa kati na maisha ya Watanzania kwa sasa ni mazuri mnoo kuanzia Wafanyabiashara. Wafanyakazi hata Wakulima
Lazima wachukie
Mkuu watanzani wote kwa ujumla tunafaidi sana utawala huu wa Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wakeHivi maisha gani yamekuwa mazuri?
Hivi kufunga fremu za bishara kibao huko Kariakoo, ndiyo unayaita, mafanikio ya utawala huu wa awamu ya tano?
Watanzania hatuna shida na mabeberuNaunga mkono hoja, vikwazo zaidi na viwekwe toka mataifa rafiki wa Marekani, UN na Umoja wa Ulaya, labda hawa watawala wetu wataacha jeuri ya kuvunja haki za binadamu
Ushawahi toka nnje ya Tanzania maishani maisha yako?Nani anataka kwenda marekani?
Mabeberu wanatuonea wivu kwa sababu tupo Uchumi wa kati na RAIA WOTE wa Tanzania wanamaisha mazuri sana tofauti na zamani
Sina haja ya kwenda nchi za watu maana mimi nipo Kwangu Tanzania na napata mahitaji yote BureUshawahi toka nnje ya Tanzania maishani maisha yako?
Yeye na Trump wake waliibana China RAISI MPYA KAJA kasema atarudisha uhusiano wa marekani ulioharibiwa na Pompeo na kamtaja kwa jina kabisa kuwa ndie mharibufu mkubwa aliyeharibu uhusiano wa Marekani na mataifa mengine.Kwenye hotuba kamtaja kwa jinaPompeo mwenyewe kawekewa vikwazo haruhusiwi kukanyaga China na Hongkong.
Oh'poor you comrade,Unaonekana make sure wajukuu zako hawawi kama wewe..Unaonekana michango yako hapa forum..it's not too late jitahidi ufike angalau Nairobi my friend..hao wageni wanaokuja hapo doesn't mean kwenye nchi zao kuna mahitaji wanakosa it might help you kuondokana na mawazo mgando.Sina haja ya kwenda nchi za watu maana mimi nipo Kwangu Tanzania na napata mahitaji yote Bure
Shule bure
Huduma za afya bure
Ajira ya kumwaga
Maisha rahisi sana
Yaani Tanzania ya Magufuli neema tupu
Tatizo lipo kwa wapiga dili Yaani lazima waumie tu maana mianya imeziba kabisa
Acha uongo mtu mzima....Mpinzani hawezi kuwepo....
Huna list,unajitamkia tu!
Jiwe limerushwa gizani, na kelele za wahusika umezisikia, sasa orodha ya nini?Majina ya waliowekewa vikwazo yako wapi?
Sasa China kuna jambo gani? Umeshawahi kusikia mtu analilia viza ya China?Pompeo mwenyewe kawekewa vikwazo haruhusiwi kukanyaga China na Hongkong.
Hivi mnadhani wazungu wana akili nyembamba kama zenu , hebu tuambie kisa cha wagombea kuenguliwa na hata rufaa zao hazikupata majibu , halafu angalia kule mlimba mlikompitisha Kunambi bila hata aibu , sababu zipi mlitumia ?“Kulikuwa na accredited observers (waangalizi waliopewa vibali) na walitoa ripoti. Tuone walisemaje kwenye ripoti zao. Kama Marekani walikuwa na waangalizi ripoti yao itaonyesha."
Asante sana Jaji Semistocles Kaijage! mpaka leo hakuna hata kesi moja ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyopokelewa kwenye mahakama zetu. Huku mtaani kuna utani wa "kama uliibiwa kuwa una ushahidi....hapana ushaidi niliuchoma!"
Hata kama CCM walikunyima elimu wakakupa ujinga ingia kwenye website ya state department ndio utajijuws hujui.Pombeo aliandika kusudio lake na serikali yake ya Trump ambayo imeshafungashwa virago na makusudio mengi aliyoweka Trump Raisi mpya jana kayafutilia mbali.
Hilo kusudio lake sasa ampelekee mkewe
Sasa imekuwaje mbunge wenu kafia India? Kwamba hizo hospital za bure watibiwe nguchiro kama wewe?Sina haja ya kwenda nchi za watu maana mimi nipo Kwangu Tanzania na napata mahitaji yote Bure
Shule bure
Huduma za afya bure
Ajira ya kumwaga
Maisha rahisi sana
Yaani Tanzania ya Magufuli neema tupu
Tatizo lipo kwa wapiga dili Yaani lazima waumie tu maana mianya imeziba kabisa