Vikwazo vya mataifa nilivyomuwekea huyu demu vimefanya ajilete mwenyewe

Hahahahahah hiii kweli kaliii mm ukiniwekea vikwazo vya kimarekani

Mm natengeneza makombora ya nyuklia kama ya putin nakupiga nayoooo alafu tuone nan atashinda vitaaa
Hahahahaaa sasa hayo makombora yako si naenda israel kuazimia drone za kuyatungua wala hayataleta madhazara yeyote kwangu
 
Mkuu kwani ukiwah siti kwenye nyumba za ibada ndo unaenda mbingun ama nini
Hapana,bali inapendeza kuwahi kwani kuchelewa kunaleta usumbufu kwa pande zote (kwako na kwa waumini wenzako maana wataanza kukuangalia unavyogonga ardhi na sikokonko zenu).
 
ngoja sis tuendelee kubet game za leo,kama mkeka utatoa pesa.nyie tesekeni na mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…