Vikwazo vya mataifa nilivyomuwekea huyu demu vimefanya ajilete mwenyewe




Nilikuwa naisoma hii story yako lkn nilipofika hapo kwenye red sikutaka tena kuendelea kuisoma,hivi ikipita siku bila kupost unajisikiaje?...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] beira huwa unanifurahisha sana na story zako iwe ni chai au kweli nakupendaga tu mm
 
I never knew I was reading a stupid post until I saw the signature[emoji58][emoji58]
 
yaani umempa demu vitu vyote hivyo ,kweli maskini ni mmm na mzee wangu
''nikwambia aje na laptop maana nataka kuhamisha nyimbo za kisukuma ambazo niliziacha humo ndan ya laptop''
 
Hapana,bali inapendeza kuwahi kwani kuchelewa kunaleta usumbufu kwa pande zote (kwako na kwa waumini wenzako maana wataanza kukuangalia unavyogonga ardhi na sikokonko zenu).
Duh sawa bhana
 
siku hizi huwa sisomi nyuzi zako mkuu..labda kama hakuna kabisa cha kusoma....
Kwani mkuu mimi nilikukosea kitu gan had usisome nyuz zangu? Sio fresh hivyo mzee baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…