Vikwazo vya mataifa nilivyomuwekea huyu demu vimefanya ajilete mwenyewe

Kuna vitu kibao ambavyo nilikuwa nimemunulia kama simu, laptop gar aina ya alteza na kila week nilikuwa namtumia kias cha kama laki tano za matumiz hasa ya saloon kutengeneza nywele na kuweka kucha, bill zote hizo nilikuwa nagharamia kwakuwa kwanza nina pesa afu nilikuwa namuthamin kama mchumba wangu




Huu uwekezaji wa ajabu mkuu wenzako kwenye pesa kwenye miradi we umewekeza kwenye papuchi? Hongera pedeshee
 
Hapana,bali inapendeza kuwahi kwani kuchelewa kunaleta usumbufu kwa pande zote (kwako na kwa waumini wenzako maana wataanza kukuangalia unavyogonga ardhi na sikokonko zenu).
kwani Beira nae ana sikonko? nauliza tu
Cc. Beira Boy
 
Hahahahahah hiii kweli kaliii mm ukiniwekea vikwazo vya kimarekani

Mm natengeneza makombora ya nyuklia kama ya putin nakupiga nayoooo alafu tuone nan atashinda vitaaa
Hayo Makombora Naya Tafakar Kwa Jicho La Tatu

Tunguli Za Mshana Jr
 
Hapa Mdogo wangu ndio uliniponipa chai ya saa sita na hili joto duuh!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahahah hiii kweli kaliii mm ukiniwekea vikwazo vya kimarekani

Mm natengeneza makombora ya nyuklia kama ya putin nakupiga nayoooo alafu tuone nan atashinda vitaaa
putin cku hz anatumia makombora ya maji kama yale ya MTWA MKWAWA NA KINJETIKILE............................[HASHTAG]#kajiandae[/HASHTAG]
 
Hii kama inajirudia humu ndani au kumbukumbu zangu zinanidanganya nilijua mrejesho inaonekana kuna sehemu umecopy na kupaste London boy
Hata mimi nakumbuka nimeisoma hapahapa JF hii stori mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…