Vikwazo vya mataifa nilivyomuwekea huyu demu vimefanya ajilete mwenyewe

ila uono ni kwenye laki tano kwa week huyo demu ana uzuri gani. umeitunga poa
 
Nilikuwa naisoma hii story yako lkn nilipofika hapo kwenye red sikutaka tena kuendelea kuisoma,hivi ikipita siku bila kupost unajisikiaje?...
Nikipitisha siku bila kupost nitapigwa ban maana mimi huwa nalipwa mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] beira huwa unanifurahisha sana na story zako iwe ni chai au kweli nakupendaga tu mm
Asante sana dada yangu nakupendaga pia my sister
 
"Kuna vitu nimemnunulia kama simu , laptop,gari alteza na kila week nampa laki tano ya matumizi hasa ya saloon " na bado umekataa kumuowa kwa sabbu ya kua hujajipanga

Beira baby boy mungu anakuona
Aliekupatia smart phone nae pua hatabaki salama
 
Gari + laptop+simu kali+ 500000 + bili nyingine=hujajipanga !!!!!like seriously !!!Muogope Mungu braza
 
Pateni muda mzungumze pamoja muone namna gani mnaweza kufanya,binafsi naona uyo binti analengo zuri na wewe
 
si tulitaka chai chai....... haha alteza talk of the town kwa beira boy.....
 
Mtunzi mzuri wa story jaribu kuifanyie movie
 
Wewe siulisema ukipiga dem bao moja tu anakukinai????......huyu kakunogea mpaka ukampa na alteza?
 
Hapo kwenye miziki ya Kisukuma nikajua tayari wazee wa visasi washaingia kazini. Mnatutesa sana na yule baba yenu mchukueni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…