Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hizo pesa za majini sitakiiiiiiii [emoji13] [emoji23] [emoji1] [emoji119]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hizo pesa za majini sitakiiiiiiii [emoji13] [emoji23] [emoji1] [emoji119]
ts true hii story imejirudiaHii kama inajirudia humu ndani au kumbukumbu zangu zinanidanganya nilijua mrejesho inaonekana kuna sehemu umecopy na kupaste London boy
Hapana mkuu nilifukuzwaShule umetoroka au umefukuzwa,maana ulituaga!
Nitawamis sana kwaherini JF, shule zimefunguliwa naenda shule tutaonana mwezi wa tatu wakuu
Imbecile!
Nimeshama mkuu nami nikaanza maisha yanguNa nyumbani umehama au!?
Au bado kula kulala kwa mama?!
Mwaka umeisha wale ambao bado tunaish kwa wazaz tukutane hapa ni lin tutajitegemea?
Hivi watu kama nyinyi mnafikiriaga nini haswa?
Huyu dogo hafai kabisa yaaniHapa Mdogo wangu ndio uliniponipa chai ya saa sita na hili joto duuh!
Mkuu kwahiyo una chuki na wasukuma
Wewe siulisema ukipiga dem bao moja tu anakukinai????......huyu kakunogea mpaka ukampa na alteza?Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
story iko hivi kuna demu mmoja bhana nimekuwa naye kwenye love kwa mda wa mwaka mmoja na nusu, kwa mda wote huo ambao nimekuwa naye nimekuwa nikimtimizia kila kitu kuanzia haja za kimwili yaan kumpiga miti na shida zake mbali mbali kama pesa za nguo na mapochopocho ya hapa na pale.
Ebhana ee si juz juz ndan ya mwez huu akanambia mimi namchezea wala sina lengo la kumuoa hivyo tuachane na inabidi kunipa papuch kwa sasa had nipeleke barua ya uchumba home kwao, mimi nikamwambia ukweli tu ni kwamba kwa sasa bado sijajipanga hivyo inabidi asubir mwaka huu uishe ndo nitaenda home kwao mara akabadili akadai anataka kusafil kwenda home kilimanjaro kapata kazi nikaona huyu binti anataka kunipanda kichwan ngoja nimufanyie umafia wa hapa na pale
Kuna vitu kibao ambavyo nilikuwa nimemunulia kama simu, laptop gar aina ya alteza na kila week nilikuwa namtumia kias cha kama laki tano za matumiz hasa ya saloon kutengeneza nywele na kuweka kucha, bill zote hizo nilikuwa nagharamia kwakuwa kwanza nina pesa afu nilikuwa namuthamin kama mchumba wangu
Sasa juzi akanipigia cm akanambia gar imeharibika baada ya kunambia hivyo nikajua tiar hii ndo njia ya kuchukua gar yangu nikwambia aje na laptop maana nataka kuhamisha nyimbo za kisukuma ambazo niliziacha humo ndan ya laptop pia nikamwambia asisahau kuja na ile cm nataka nije nichukue baaz ya picha ambazo nilizihifadh humo
Akaleta gar nikaweka ndan laptop pia nikachukua na cm yangu nikachukua pia nikamwambia hivi vitu vyote utavichukua siku nikija kwenu kujitambulisha. AKABAKI NA KASIMU KAKE KA NOKIA KA TOCH NA AKAENDA KUPANDA BAJAJI HAJI KWAO
Jana kanipigia cm analia lia anasema amemisi gegedo na ile safari ya kwenda kwao kilimanjaro kufanya kaz kasitisha hivyo anabaki hapa hapa dar na anadai kwa sasa ananipenda sana kushinda siku zote na hatak tuachane alikuwa ananitania sijui mara juz kaniota tumefunga ndoa na blabla kibao.
DEMU AKIZINGUA MUWEKEE VIKWAZO VYA KIMAREKAN UMUONE ANAVYOKUJA KUOMBA POO MWENYEWE
LONDON BOY