RTI
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 2,423
- 7,155
Vikwavo vya kuuza na kununua silaha vya UN dhidi ya Iran vilivyo dumu kwa muongo mmoja vimemalizika hii leo. Hatua ya kufika tamati kwa vikwazo hivyo kutaiwezesha Iran kununua na kuuza silaha zake.
Hata hivyo licha ya vikwazo vya silaa taifa hilo limekuwa likiimarika kijeshi kila kukicha na hatua ya kuisha muda kwa vikwazo vya silaha itaiimarisha zaidi .
Marekani, Israel , na mataifa ya ghuba yamekuwa yakipinga kuondolewa kwa vikwazo hivyo dhidi ya Iran hata hivyo juhudi zao zinaonekana kuambulia patupu.
Chanzo ni kwa mujibu wa DW Swahili.