Kwa nilivyosoma maoni ya ya wachambuzi inaonekana silaha wanaweza hata wasinunue ila kuuza watauza kiasi. Kuiuzia silaha Iran ni sawa na kutangaza uadui na Saudi Arabia, Israel, UAE na baadhi ya mataifa mengine ya Kiarabu. Tatizo la Iran ana uhadui na Waarabu na Wayahudi wengi na wanaogopa akipata silaha.
Pia China anatamani sana Biden ashinde urais ili mazungumzo juu ya mgogoro wa biashara kama kuhusu Huawei uendelee na kutatuliwa. Russia anatamani kuendeleza mkataba wa START kuhusu silaha za nyuklia ambao inaonekana Trump hajataka ila Russia wanamtaka Trump arejee. Wawili hawa hawataki mgogoro mpya ili wasivuruge mazingira ya mazungumzo hivo wataepuka kuiuzia Iran silaha nzito kama attack subs, S-400, tanks, attack helicopters na airfighters. Labda mwakani mikataba isainiwe.
Wakati huo Iran hana fedha nyingi za kununua silaha za kutosha kutokana na vikwazo. Russia hawezi uza silaha kwa kubadirishana na mafuta maana anayo labda China akifanya hivo.
Mengi ya haya nimeyatoa Aljazeera na nimeyaamini.
Mkuu ungejua China na Urusi walivyo pambana kwenye baraza la usalama la UN ili kuhakikisha vikwazo hivi haviongezewi muda usingesema hivyo.Kwa nilivyosoma maoni ya ya wachambuzi inaonekana silaha wanaweza hata wasinunue ila kuuza watauza kiasi. Kuiuzia silaha Iran ni sawa na kutangaza uadui na Saudi Arabia, Israel, UAE na baadhi ya mataifa mengine ya Kiarabu. Tatizo la Iran ana uhadui na Waarabu na Wayahudi wengi na wanaogopa akipata silaha.
Pia China anatamani sana Biden ashinde urais ili mazungumzo juu ya mgogoro wa biashara kama kuhusu Huawei uendelee na kutatuliwa. Russia anatamani kuendeleza mkataba wa START kuhusu silaha za nyuklia ambao inaonekana Trump hajataka ila Russia wanamtaka Trump arejee. Wawili hawa hawataki mgogoro mpya ili wasivuruge mazingira ya mazungumzo hivo wataepuka kuiuzia Iran silaha nzito kama attack subs, S-400, tanks, attack helicopters na airfighters. Labda mwakani mikataba isainiwe.
Wakati huo Iran hana fedha nyingi za kununua silaha za kutosha kutokana na vikwazo. Russia hawezi uza silaha kwa kubadirishana na mafuta maana anayo labda China akifanya hivo.
Mengi ya haya nimeyatoa Aljazeera na nimeyaamini.
...Kwani mkuu fedha inazotumia Iran kufadhili makundi kama Hizbullah, wanagambo huko Iraq,Syria na Yemen unafikiri ni nyingi kiasa cha kuona ndio kigezo cha kumudu gharama za kununua silaha nzito kama S-400, attack Submarines na nyinginezo za kisasa?Mkuu ungejua China na Urusi walivyo pambana kwenye baraza la usalama la UN ili kuhakikisha vikwazo hivi haviongezewi muda usingesema hivyo.
Kama wange kuwa hawataki kuiuzia silaha Iran kwa sababu hizo ulizo zisema basi wangeruhusu muda wa vikwazo uongezwe.
Kuhusu fedha Iran haijaanza kuwekewa vikwazo juzi imeanza kuwekewa vikwazo zaidi ya miaka 40 lakini bado wanapata mabilion ya$ ya kuendesha vita nchini yemen,Syria na Iraq kwa hiyo sidhani kama watashindwa kupata fedha za kununua silaha.
Fedha za kupeleka outdated rocket launchers, makeshift drones na RPG haziwezi fananishwa na fedha ya kununua na kumaintain state of the art weapons.Mkuu ungejua China na Urusi walivyo pambana kwenye baraza la usalama la UN ili kuhakikisha vikwazo hivi haviongezewi muda usingesema hivyo.
Kama wange kuwa hawataki kuiuzia silaha Iran kwa sababu hizo ulizo zisema basi wangeruhusu muda wa vikwazo uongezwe.
Kuhusu fedha Iran haijaanza kuwekewa vikwazo juzi imeanza kuwekewa vikwazo zaidi ya miaka 40 lakini bado wanapata mabilion ya$ ya kuendesha vita nchini yemen,Syria na Iraq kwa hiyo sidhani kama watashindwa kupata fedha za kununua silaha.
Nonesense! Hakuna atakayewauzia.Iran wanunue S_400 triumf hamna yeyote atayejaribu kuwasogelea pale middle east.
Dollar ya Zimbabwe au dollar za wapi wanazipata?Mkuu ungejua China na Urusi walivyo pambana kwenye baraza la usalama la UN ili kuhakikisha vikwazo hivi haviongezewi muda usingesema hivyo.
Kama wange kuwa hawataki kuiuzia silaha Iran kwa sababu hizo ulizo zisema basi wangeruhusu muda wa vikwazo uongezwe.
Kuhusu fedha Iran haijaanza kuwekewa vikwazo juzi imeanza kuwekewa vikwazo zaidi ya miaka 40 lakini bado wanapata mabilion ya$ ya kuendesha vita nchini yemen,Syria na Iraq kwa hiyo sidhani kama watashindwa kupata fedha za kununua silaha.
Wewe t 14 armata unasema Iran airforce mweupe!!! Juzi kati iran ilishangaza dunia kwa mara ya kwanza f 5 iliweza kufwatua kombora lili tembea zaid ya kilomita 900 air to air misseli za f 5 zikitembea zaidi ya kilomita 70 hata sidewinder air to air misseli za f 16 hazioni ndaniMkuu ungejua China na Urusi walivyo pambana kwenye baraza la usalama la UN ili kuhakikisha vikwazo hivi haviongezewi muda usingesema hivyo.