Vikwazo vyaendelea, Ujerumani yazuia boti ya bilionea wa Urusi

Vikwazo vyaendelea, Ujerumani yazuia boti ya bilionea wa Urusi

Sema walikuwa wanamuonea wivu jamaa ila walikuwa wanashindwa jinsi ya kumwingia.

Ila jamaa ni tajiri yaani anamiliki boti yake moja ni sawa na makusanyo ya TRA Tanzania kwa mwezi mmoja...
 
Mamlaka nchini Ujerumani zinashikilia boti ya kifahari ya bilionea wa Urusi, Alisher Usmanov yenye thamani ya Sh trilioni 1.4.

Hatua hiyo imekuja siku mbili baada ya Umoja wa Ulaya (EU) kumuwekea vikwazo alivyodai vina lengo la kumchafua, na kwamba atapambana kulinda heshima yake.

Vikwazo hivyo vinakuja baada ya Urusi kuivamia Ukraine kijeshi, hivi karibuni.

Boti hiyo yenye urefu wa futi 500 ilikuwa imeegeshwa katika ufukwe wa Hamburg na ilipewa jina la mama wa mmiliki.


Source: Reuters

===============================================================

Germany seizes $600 million super yacht that Russia’s sixth-richest man named after his mother


German authorities have seized a nearly $600 million luxury yacht owned by Russian billionaire Alisher Usmanov, who has faced European Union sanctions over Russia's invasion of Ukraine, Forbes reported, citing sources in the yacht industry.

The more-than-500-foot (150 meter) Dilbar superyacht, which boasts a 25-meter swimming pool, was taken in the northern port of Hamburg, the Forbes website reported. Separately on Thursday, French authorites took control of a yacht they said belonged to Rosneft boss Igor Sechin.

View attachment 2137497
Hiyo bot inatumiwa sana majasusi wa Urusi, ndiyo maana imeshikiliwa.
 
Back
Top Bottom