Tetesi: Vikwazo vyanukia kumshinikiza Magufuli aingilie kati ili mshindi atangazwe Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Hongera kwa uchambuzi mzuri! Nilifikiri ni Pasco!
 
Ni hatareeeeee
Hao wote waliobeba hayo mabango ukiangalia wengi wao hawana passport za Tanzania na wamejiripua pale kama wasomali au wengine waburundi au warwanda.Sasa kwa akili zao wanafikiria maandamano ya watu 10 yanaweza kulazimisha Canada imuite balozi wake kutoka Tanzania.wanajua magnitude ya kumuuta balozi? Ni watu wenye akili kama zao tu ndiyo wanaoweza kuamini kama hicho kitu kinaweza kutokea. Na Juss anawadanganya nyumbu wake kwa kuweka hayo mabango kwenye wall ayake huku yeye akijua ukweli...angalia aliyoyafanya Mugabe kuna nchi gani ilisitisha uhusiano na Zimbabwe..

Unajua miaka ya nyuma nilikuwa ni mfuasi mkubwa sana wa CUF na niliona wanaweza ku bring a change lakini baadae nikagundua CUF siyo kwa ajili ya ZNZ bali ni Pemba's movement kwani Seif aliwaaminisha ya kuwa wapemba wanaonewa na aliitumia kama political propaganda ili kujinufaisha yeye mwenye bila ya kujali ya kuwa anaigawa Zanzibar.Ubaguzi wa Uunguja na Upemba seif ana mkono mkumbwa sana. Kwa kuanzia alipokuwa waziri wa Elimu inajulikana wazi aliwaeka pembeni wanafunzi kutoka unguja kwenda kusoma nje na matokeo yake waliokwenda nje kipindi yeye yuko waziri more than 80% walikuwa wapemba.lakini ukiwauliza wapemba wengi wanakuambia ubaguzi ulianza 1995.. kwa sababu kuanzia hapo wauunguja ndipo walipofumbua mamcho na kuanza kuwageuzia kibao wao wenyewe. Seif Sharif hatokuwa raisi wa ZNZ milele Mazrui au Jussa wana chanze ya kuwa Raisi lakini seif haitotokea.
 
Mwenye mawazo mafupi ni anayeshabikia vikwazo vya marekani kwa serikali ya Tanzania wakati anshudumiwa na serikali ya Tanzania. Ni sawa na kushabikia mafuriko wakati unaishi bondeni.
Ha ha ha haaah ni kweli aisee!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…