Wanabodi kwa takribani miaka mingi sasa Simba, Yanga na Ujio wa Azam kumekuwa na tatizo la kifedha kwa vilabu kama Simba na Yanga. Lakini ujio wa MO simba na GSM kwa yanga inaoneakana kuna uhai kidogo. Azam wao wako vzr tangu mwanzo.
Me naamini kabisa Simba au Yanga wanahela zipo kwa wapenzi wao hii inatokana na kuwa na mashabiki kila kona ya Tanzania. Hata kama mtz hafutilii sana mpira lakini ukimuuliza atakuambia yeye Simba au Yanga. Mfano tu Yanga kama waliuza jezi 1m kwa 30000 maana yake walipata 30b, sawa na Simba kama waliuza jez 1.5m zidisha mara 30000 ni 45 B.
Hebu imagine kama watatumia usajili 2b au 5b na kulipa mishahara 10b maana yake hizi timu zina hazina ya hela.
Ujio wa MO na GSM wanaozijua biashara naamini wanapata return ya kutosha kupitia jezi tu.
Na kuzirasimisha hizi timu naamini unaweza kupataa hela za kutosha mfano kila mpenzi wa simba awe na kadi yake alipie 5000 tu kwa mwaka na apate punguzo kwenye manunuzi ya jezi, kiingilio, na safari zote za timu.
Ujioo wa MO na GSM naamini zitafika mbali kama hakitatokeaaa kirusi chochote ndani ya hizi team.