Vilabu vya Simba, Azam na Yanga kuna hela

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Wanabodi kwa takribani miaka mingi sasa Simba, Yanga na Ujio wa Azam kumekuwa na tatizo la kifedha kwa vilabu kama Simba na Yanga. Lakini ujio wa MO simba na GSM kwa yanga inaoneakana kuna uhai kidogo. Azam wao wako vzr tangu mwanzo.

Me naamini kabisa Simba au Yanga wanahela zipo kwa wapenzi wao hii inatokana na kuwa na mashabiki kila kona ya Tanzania. Hata kama mtz hafutilii sana mpira lakini ukimuuliza atakuambia yeye Simba au Yanga. Mfano tu Yanga kama waliuza jezi 1m kwa 30000 maana yake walipata 30b, sawa na Simba kama waliuza jez 1.5m zidisha mara 30000 ni 45 B.

Hebu imagine kama watatumia usajili 2b au 5b na kulipa mishahara 10b maana yake hizi timu zina hazina ya hela.

Ujio wa MO na GSM wanaozijua biashara naamini wanapata return ya kutosha kupitia jezi tu.
Na kuzirasimisha hizi timu naamini unaweza kupataa hela za kutosha mfano kila mpenzi wa simba awe na kadi yake alipie 5000 tu kwa mwaka na apate punguzo kwenye manunuzi ya jezi, kiingilio, na safari zote za timu.

Ujioo wa MO na GSM naamini zitafika mbali kama hakitatokeaaa kirusi chochote ndani ya hizi team.
 
Kwahiyo matumizi ya Timu unayojua ni KUSAJILI na KULIPA MISHAHARA TU?
Hujui kuwa Wachezaji wetu wanakaa Kambini? Huoni Wakipanda Ndege kwenda Mikoani na Nje ya Nchi? Unajua Matibabu ya Wachezaji ni bei gani? Je Mapango ya Nyumba na Magari kutembelea ya Familia za Wachezaji ni Gharama za Timu je Ni kiasi gani. Kwa kifupi matumizi uliyotaja wewe ni Tone tuuu.
 
Mashabiki wengi wa soka la bongo siyo wanunuzi wa jezi halisi za timu zao pendwa.

Hakuna timu bongo inaweza uza jezi hata 500,000 HAIPO.
 
Mipango siyo matumizi. ukiwekwa wewe mtoa mada uendeshe timu mojawapo ya ulizozitaja huwezi kupata hizo hela
 
Wanabodi kwa takribani miaka mingi sasa Simba, Yanga na Ujio wa Azam kumekuwa na tatizo la kifedha kwa vilabu kama Simba na Yanga. Lakini ujio wa MO simba na GSM kwa yanga inaoneakana kuna uhai kidogo. Azam wao wako vzr tangu mwanzo.

Me naamini kabisa Simba au Yanga wanahela zipo kwa wapenzi wao hii inatokana na kuwa na mashabiki kila kona ya Tanzania. Hata kama mtz hafutilii sana mpira lakini ukimuuliza atakuambia yeye Simba au Yanga. Mfano tu Yanga kama waliuza jezi 1m kwa 30000 maana yake walipata 30b, sawa na Simba kama waliuza jez 1.5m zidisha mara 30000 ni 45 B.

Hebu imagine kama watatumia usajili 2b au 5b na kulipa mishahara 10b maana yake hizi timu zina hazina ya hela.

Ujio wa MO na GSM wanaozijua biashara naamini wanapata return ya kutosha kupitia jezi tu.
Na kuzirasimisha hizi timu naamini unaweza kupataa hela za kutosha mfano kila mpenzi wa simba awe na kadi yake alipie 5000 tu kwa mwaka na apate punguzo kwenye manunuzi ya jezi, kiingilio, na safari zote za timu.

Ujioo wa MO na GSM naamini zitafika mbali kama hakitatokeaaa kirusi chochote ndani ya hizi team.
Hizi timu zife tu jamani, tumezichoka maana karibia ya wachezaji wao wengi ni wachawi
 
Back
Top Bottom