Vile unavyonipa, nawezaje kusahau? - Karibu tuzogoe!

Vile unavyonipa, nawezaje kusahau? - Karibu tuzogoe!

Wala pipi kifua hazibaki zaidi ya kale ka mint kwa mbali! Actually kuna kautaalam kake, sio kusondeka mimate kwa ndani!
Mmmh ngoja niifanyie research, labda na mimi nitamuomba mubaba wangu tujaribu 😂
Na moyoni, nimeona mmoja anawasiwasi takatakata yake imepita na mimi, sijui wananipimaje hawa *******😒
Eti takataka yake, daah 😆😆
Cracking Up Lol GIF by MOODMAN.gif
 
Back
Top Bottom